Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mzee wa liverpool mbona unaonekana umekata tamaa sasa, pale darajani hamtoki lazima jogoo lichinchwe. Chelsea hoyeeeee
 
Liverpool nyie pambaneni mshinde mechi msiwawaze Man Utd...
 
Kha ha ha ha ha haaaaa!! Pole sana Simba Fc!

Nakwambia ushindi wa Chelsea ni labda wakarudishe Drogba chap halafu awanusuru! Hili la pointi 3 kwa L'pool Fc!

mzee wa liverpool mbona unaonekana umekata tamaa sasa, pale darajani hamtoki lazima jogoo lichinchwe. Chelsea hoyeeeee
 
Nakwambia ushindi wa Chelsea ni labda wakarudishe Drogba chap halafu awanusuru! Hili la pointi 3 kwa L'pool Fc!

Drogba ndani ya nyumba.

Anaomba aruhusiwe awe anafanya mazoezi darajani kabla hajaenda AFCON.
 
Kha ha ha ha ha haaaaa!! Pole sana Simba Fc!

Simba imeingiaje hapa? Hivi wewe mshabiki wa Looserfools a.k.a the Kops, utashabikiaje Yanga?

Anyway, Simba tupo kwenye mpito, mambo yatakaa sawa tu.
 
liverpool ni janga tu, hamuwezi kushinda hiyo mechi hata mkijinasibu vipi! timu yenu imekuwa historia
 
Nakubaliana nawe. Hatutaki mamluki kutoka manure siye!
 
wakuu hawa wanajeshi wamemleta nani na huyu mzee mwenye kofia ni nani?. mia
 
mpira ushaanza dakika ya 2 mpira ni bila bila
chelsea 0 - 0 liverpool. mia
 
hadi sasa sijui torres anafanya nini uwanjani. oscar kakosa goli la wazi. mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…