Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mzee wa liverpool mbona unaonekana umekata tamaa sasa, pale darajani hamtoki lazima jogoo lichinchwe. Chelsea hoyeeeee
 
Liverpool nyie pambaneni mshinde mechi msiwawaze Man Utd...
 
Kha ha ha ha ha haaaaa!! Pole sana Simba Fc!

Hivi mko nafasi ya ngapi vile?

Oh! Nilisahau, nashukuru skirini ya Iphone 5 ni kubwa kiasi kwamba sipati shida kujua Looserfools wako nafasi ya ngapi.

Leo nitafurahia game tu. Huku nikipiga miluzi na kuchezea sharubu zangu, nikipungwa upepo pale juu kileleni.
 
Nakwambia ushindi wa Chelsea ni labda wakarudishe Drogba chap halafu awanusuru! Hili la pointi 3 kwa L'pool Fc!

mzee wa liverpool mbona unaonekana umekata tamaa sasa, pale darajani hamtoki lazima jogoo lichinchwe. Chelsea hoyeeeee
 
Nakwambia ushindi wa Chelsea ni labda wakarudishe Drogba chap halafu awanusuru! Hili la pointi 3 kwa L'pool Fc!

Drogba ndani ya nyumba.

Anaomba aruhusiwe awe anafanya mazoezi darajani kabla hajaenda AFCON.
 
liverpool ni janga tu, hamuwezi kushinda hiyo mechi hata mkijinasibu vipi! timu yenu imekuwa historia
 
Katika mechi hii itakayoanza muda si mrefu,sitaki washabiki wa Manchester United watuunge mkono washabiki wa L'pool FC kwani Man U ni timu ya kubebwa tu! Mi washabiki ninaojua ni wa Man U wakishangilia ushindi wetu dhidi ya Chelsea Mi nawamwagia chochote kile nilichoshika muda ule wakishangilia. Hiyo ni taarifa tu!

Nakubaliana nawe. Hatutaki mamluki kutoka manure siye!
 
wakuu hawa wanajeshi wamemleta nani na huyu mzee mwenye kofia ni nani?. mia
 
mpira ushaanza dakika ya 2 mpira ni bila bila
chelsea 0 - 0 liverpool. mia
 
hadi sasa sijui torres anafanya nini uwanjani. oscar kakosa goli la wazi. mia
 
Back
Top Bottom