figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Acha kuweweseka! Soka lipo MAN
we panya.
mpira ni half time. namwachia mwenzangu ndetichia ataendelea kuwapa updates. mimi ntarudi baadae saa tano kuangalia mpira umeishaje. asante sana. chelsea hoyee!. mia
Bila shaka hizi dk 45 cha kipindi cha pili ndiyo msema kweli! Na nina imani ya kwmb kuna uwezekano wa L'pool Fc kuibuka kidedea!
naona messi wa looserfool anaokoa jahazi..
suarez
aiseeeee babaangu mbona huku rombo 2naona bado ni 1-0 na ni live super sport 3 mkuu
Hapa ubao unasoma ni dk ya 90 ya 1-1 na kuna nyongeza ya dk 4!