Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mpira ni half time. namwachia mwenzangu ndetichia ataendelea kuwapa updates. mimi ntarudi baadae saa tano kuangalia mpira umeishaje. asante sana. chelsea hoyee!. mia
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka hizi dk 45 cha kipindi cha pili ndiyo msema kweli! Na nina imani ya kwmb kuna uwezekano wa L'pool Fc kuibuka kidedea!
 
what a foul commited by johnson hasa kipindi hiki cha pili shauri yao..

mr liverpool nae chali..
 
kona sasa mmepata..

and jose enrique inglesias anawahelp sana looserpool
 
Back
Top Bottom