Katika mechi hii itakayoanza muda si mrefu,sitaki washabiki wa Manchester United watuunge mkono washabiki wa L'pool FC kwani Man U ni timu ya kubebwa tu! Mi washabiki ninaojua ni wa Man U wakishangilia ushindi wetu dhidi ya Chelsea Mi nawamwagia chochote kile nilichoshika muda ule wakishangilia. Hiyo ni taarifa tu!
naona messi wenu kanusuru jahazi now chelski are losing directions..
Man U ni maadui wakubwa wa L'pool Fc hapo Uingereza na hamna mwingine!
Na adui siku zote mwombee njaa!
hiyo tebo ungeiweka kule kwenye uzi wa milan wa Gang Chomba unavutia sana..
Mkuu sisi LUFC na AC Milan tupo in deep shit. Hatuna timu kabisa. Owners wenyewe ndio hao wamekuwa bahili kama wa Arsenal. Tutaendelea kuwa na wakati mgumu sijui hadi lini.
Nikiangalia Liverpool ya zamani tulikuwa tukiwafanya vibaya Real Madrid, Barca, Inter, Juve, AC etc. leo hii hata Swansea wanatufunga!
Mkuu ndetichia salama?! Unafikiri naweza kujificha chama langu Liver likicheza??? Hata tungeshuka daraja mimi ni Liverpool, kwa sasa kuna mishemishe zimenitight ukichanganya na tofauti ya masaa imekuwa balaa kbs kufuatilia mechi. Liver iko kwenye mwelekeo mzuri sana, nasubiria January nione watafanya usajili gani.haya wale wote mliojificha njoeni sasa maana mmedroo wapi p-red na wengine kina Ta Muganyizi
Mkuu ndetichia salama?! Unafikiri naweza kujificha chama langu Liver likicheza??? Hata tungeshuka daraja mimi ni Liverpool, kwa sasa kuna mishemishe zimenitight ukichanganya na tofauti ya masaa imekuwa balaa kbs kufuatilia mechi. Liver iko kwenye mwelekeo mzuri sana, nasubiria January nione watafanya usajili gani.
hiyo tebo ungeiweka kule kwenye uzi wa milan wa Gang Chomba unavutia sana..
Milan Jana, leo Daima...
Milan baba wa mafanikio ya soka.