ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
Katika mechi hii itakayoanza muda si mrefu,sitaki washabiki wa Manchester United watuunge mkono washabiki wa L'pool FC kwani Man U ni timu ya kubebwa tu! Mi washabiki ninaojua ni wa Man U wakishangilia ushindi wetu dhidi ya Chelsea Mi nawamwagia chochote kile nilichoshika muda ule wakishangilia. Hiyo ni taarifa tu!
haya wale wote mliojificha njoeni sasa maana mmedroo wapi p-red na wengine kina Ta Muganyizi
Last edited by a moderator: