We need five consecutive victories to stand still and be fit psychologically in epl.
Ingawa tumeshinda lakini bado timu bovu
ripoti baba,hadi magazeti yao ya the sun,sijui sky news bbc warindime habari hii,hawajui huko turati station kila kona wanazungumzia bao la mexes jana,au san siro,kumekucha mashujaa mnyama mkubwa ni gumzo!Andereicht 1-3 Milan...
*El shaarawy
*Mexes
*pato.
Milan are through... NB
Goli alilofunga beki wa Milan Philip Mexes kama
angelifunga Messi basi tungeambiwa Champions
League imekwisha na Barca ni mabingwa so
tusubiri michuano ya nxt season... Forza Milan.
wewe ndie Honey wangu ambaye watu
wananieleza mabaya yako weeeh lakini naishia
kuwajibu ''yatawashinda''.
Mimi na wewe mpaka ntakapotangulia
kusikojulikana. Nakupenda sana Darling, amini hilo.
ripoti baba,hadi magazeti yao ya the sun,sijui sky news bbc warindime habari hii,hawajui huko turati station kila kona wanazungumzia bao la mexes jana,au san siro,kumekucha mashujaa mnyama mkubwa ni gumzo!
Ukiona tu Downing na Hendo wanaanza ujue basi hakuna kitu hapo Downing bora kumpanga Assaidi tu sipendi hata kumuona akicheza mpira Downing.
Downing leo anakuwa Man of the Match.
Timu bovu. I'm so ashamed to be a Liverpool fan nowadays. It's a disgrace to the fans
A few years ago we used to beat anybody in continental Europe. Nobody wanted to come to Anfield. No one could stand our way from the likes of Barcelona to Real Madrid, from AC Milan to Juventus leo hii hata Totenham anatufunga. Owners wenyewe ndio hao kama wa Arsenal, toka lini mmarekani akajua kuendesha soccer club? hii sio NFL wala baseball. Aibu gani hii. Hii ndio imetoka tena, imebaki kushuka daraja tu ndio watatia adabuSo do I. Ni wenye mioyo migumu kama sisi tuliobakia Liverpool bila aibu. Wenye mioyo laini wamegawana timu nyingine huku mioyo yao ikiwauma.
Liverpool sasa tumekuwa Liverfools wa uhakika. Inauma sana aisee!
So do I. Ni wenye mioyo migumu kama sisi tuliobakia Liverpool bila aibu. Wenye mioyo laini wamegawana timu nyingine huku mioyo yao ikiwauma.
Liverpool sasa tumekuwa Liverfools wa uhakika. Inauma sana aisee!
So do I. Ni wenye mioyo migumu kama sisi tuliobakia Liverpool bila aibu. Wenye mioyo laini wamegawana timu nyingine huku mioyo yao ikiwauma.
Liverpool sasa tumekuwa Liverfools wa uhakika. Inauma sana aisee!
Njooni mmchukue Spanish waiter wenu, anatuharibia timu sana.