Westham watatufunga!
FT West Ham 2 - 3 Liverpool
hongera zenu kwa kushinda bila ya Luis Suarez..
Naomba kudeclare interest ..i am a dying fan of LFC..YNWA...Maisha yanaendelea..jamani ni msimu wa kujipanga tusikate TAMAA!!....Kiwango sio kibaya!!
Pacha wako yuko hapa, (siyo snowhite) huyu anaitwa LiverpoolFC!
Pacha wako yuko hapa, (siyo snowhite) huyu anaitwa LiverpoolFC!
nimestukaje kutajwa humu kwenye mupira ya uraya !mweh!ila kama pacha wangu SnowBall iko penda hii haya basi na mie chama la LFC!
pacha uwe unanikumbusha siku ya mechi,ikiwezekana tuangaliage wote!lol
Pamoja sana mkuu, timu iko njema. Kuna vitu kadhaa kocha anatakiwa kufanya January na vikifanyika kwa usahihi watu wataona vumbi tu... YNWA.Naomba kudeclare interest ..i am a dying fan of LFC..YNWA...Maisha yanaendelea..jamani ni msimu wa kujipanga tusikate TAMAA!!....Kiwango sio kibaya!!
Pamoja sana mkuu, timu iko njema. Kuna vitu kadhaa kocha anatakiwa kufanya January na vikifanyika kwa usahihi watu wataona vumbi tu... YNWA.
RIP Liverpool
We Sharrif kumbe mchokozi ehe? Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee