Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naomba kudeclare interest ..i am a dying fan of LFC..YNWA...Maisha yanaendelea..jamani ni msimu wa kujipanga tusikate TAMAA!!....Kiwango sio kibaya!!
 
Kusem aukweli, yataka moyo kuwa mshabiki wa Liverpool, lo! goli 3 - 1 tena kwa timu ndogo ya Aston Villa?
 
Pacha hilo nalo neno....ntakuwa nakukumbusha mwaya..usijali...(si mechi zote hadi za europa si eti eeeh?)..najua Arushaone mimacho itamtoka tu ka mjusi alobanwa na mlango!!

nimestukaje kutajwa humu kwenye mupira ya uraya !mweh!ila kama pacha wangu SnowBall iko penda hii haya basi na mie chama la LFC!
pacha uwe unanikumbusha siku ya mechi,ikiwezekana tuangaliage wote!lol
 
Last edited by a moderator:
Naomba kudeclare interest ..i am a dying fan of LFC..YNWA...Maisha yanaendelea..jamani ni msimu wa kujipanga tusikate TAMAA!!....Kiwango sio kibaya!!
Pamoja sana mkuu, timu iko njema. Kuna vitu kadhaa kocha anatakiwa kufanya January na vikifanyika kwa usahihi watu wataona vumbi tu... YNWA.
 
Jamaa kakuta mbulula wengi pale..so anahitaji muda na naamini january hii akipata strikers hata wa2 wa kusaidiana na suarez na lucas akiwa fit mbona ya nne tunaipata....

Pamoja sana mkuu, timu iko njema. Kuna vitu kadhaa kocha anatakiwa kufanya January na vikifanyika kwa usahihi watu wataona vumbi tu... YNWA.
 
Kwa nini huyu Rogers asifukuzwe kwa uzembe na kuichafulia club heshima ya miaka kadhaa ambayo wana merseyside tunayo?

Simpendiiii, Hadi Aston villa atupige 3 Tena kwe2?
 
Jamani dalili za ushindi kwa Fulham zipo?
Kuongoza 2-0 hadi halftime itatusaidia?
 
LEO NIMEAMBIWA DOWNING AKIFUNGA GOAL AU ASSIST NIJIITE STEWART DOWNING MWEZI MZIMA HUU DAH:becky:
 
Back
Top Bottom