Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nipo kijijini lakini naweza kuiona game bila tatizo. Naona wanamhoji King Ken
 

Nashangaa...wakati ndiyo mida yake hii.

Mkuu vp upo na TV hapo ulipo usaidie kwenye updates...nilipo mimi sina chochote hapa.
Natanguliza shukrani...mkuu Nzi
 
Last edited by a moderator:
Nipo kijijini lakini naweza kuiona game bila tatizo. Naona wanamhoji King Ken

Sina access na TV mkuu hebu saidia kutupia first eleven ya leo...afu na baadaye uwe unarusha updates game ikianza,tafadhali mkuu Amiliki
 
Last edited by a moderator:
Tunafurahi kuona mashabiki wa . LIverpool mmerudi baada ya kuona kuna kamwanga kidogo.. welcome back guys
 
1-1 mpaka saivi dah. Jonjo aliifungia Swansea. Sturridge akasawazisha baada ya kuzawadiwa pasi fyongo na Jonjo Shelvey. Dakika ya 10
 
Nimechungulia espn...duh!
Mpaka sasa moja moja...dk 2 Jonjo (Swansea) afu dk 4 Sturridge kachomoa,kweli dogo yupo on fire!
 
Back
Top Bottom