Tunafurahi kuona mashabiki wa . LIverpool mmerudi baada ya kuona kuna kamwanga kidogo.. welcome back guys
1-1 mpaka saivi dah
Ndiyo mkuu...kwani wewe ni shabiki wa timu gani?
Mkuu sina TV hapa nategemea espn tu...vp unaionaje game kwa wewe unayeangalia live?