Naona peke yangu ndio na wasiwasi wa kufungwa yani sioni kushinda Flanagan itakuwa upenyo midfield Wenzetu wametuzidi Arsenal nafikiri watashinda ila tukishinda itakuwa Bonus kubwa. Tucheze mpira ila tukiweka kukaba juuu Arsenal watatumaliza hata 4.Ukweli ni kuwa mechi ya leo itakuwa ngumu lakini nategemea Liver wafanye kweli. Tunamkosa Enrique lakini tuna vijana wa kutosha kuimaliza Arse8.
We will never walk alone.
Leo ni ushindi tu.
Flog of the game:
1. Gerard
2. Sakho
3. Lucas
Chemistry yao bado sijaielewa kabisa mpira pale kati haikai.!!
nataraji liverpool warudi second half na kushinda game ya leo. ynwa
Tegemea ushindi Mkubwa wetu!
Tegemea ushindi Mkubwa wetu!
.......#mburukenge wapi leo?
Mnashabikia Liverpool kwa msimu ee?
Daaaaadddeki, kimyaaaaa!
Naa bado, keep on walking alone buddies