Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naomba liverpoolfc wa Nunue Lallana wa Southampton na ma midfield Wenye Nguvu hapo SG na Fulham kacheza vizuri sababu alipata mapumziko ya week.
 
Punainen upo? liverpoolfc wanaonea charaza Fulham. Liverpoolfc YNWA!.

Mkuu Pazi, nilikuwepo ila sikuwa kwenye nafasi ya kuingia hapa... Point tatu ni muhimu ila sikuridhika na idadi ya magoli tuliyopata, kwa hali ya Fulham ya sasa ilifaa tupate angalau goli sita kwenda juu, siyo hizi nne.
 
Naomba liverpoolfc wa Nunue Lallana wa Southampton na ma midfield Wenye Nguvu hapo SG na Fulham kacheza vizuri sababu alipata mapumziko ya week.

Huu ndio ukweli, ndicho kilichotugharimu mechi dhidi ya Arsenal.
 
Mkuu Pazi, nilikuwepo ila sikuwa kwenye nafasi ya kuingia hapa... Point tatu ni muhimu ila sikuridhika na idadi ya magoli tuliyopata, kwa hali ya Fulham ya sasa ilifaa tupate angalau goli sita kwenda juu, siyo hizi nne.
Suarez ni striker mzuri lakini wakati mwingine ubinafsi wake unai cost timu. Amekosa magoli ya wazi si chini ya mawili ambayo kama angeweka uchoyo pembeni basi yangetinga panapostahili.

Kwa magoli ya wazi waliyokosa Liverpool, Fulham ilibidi watandikwe hata nane.

Kuna kitu kimoja Liverpool wanapaswa wakijue katika ligi ya msimu huu...kwamba ni muhimu sana kujiwekea akiba ya kutosha ya GD.

Kwa jinsi ligi ya msimu huu inavyokwenda, huenda tukaja kujutia mabao tuliyostahili kuyafunga halafu tukayapotezea.
 
Mkuu, kweli kabisa, inafaa tukipata timu za kufunga tuzifunge hasa... Siyo hivi utadhani wachezaji wetu wanazihurumia!
 
Huyu Henderson kupewa namba kila mechi tena anamaliza dakika 90 ananifanya nimchukie Rogers
 
Unataka ampange nani,Joe Allen? Pamoja na kwamba wachezaji wa kingereza hawana vipaji lakini wanasaidia kwa kuwa wana nguvu na wanaweza pumzi kulinganisha na wengine.Nafikiri tatizo kubwa la Henderson sio mzuri kwenye kutengeneza magoli na kufunga magoli
 
Mbrazil Alberto ndio namba yake ile. Henderson anachojali ni nywele zake zisichafuke. anakimbiakimbia tu bila malengo. Hafai kuchezea hata Taifa Stars
 
Wana jamnvi mpo wapi leo mpaka sasa ni mapumziko liverpool tunaongoza 2-1
 
Tupo kama kawaida hatuna kelele wala nini! Sema kuna wale wapinzani wanafiki wanaombea mabaya ndo waibuke na kelele hapa!
 
Joe Allen anakosa nafasi ya wazi kabisa Everton wanachomoa dakika chache baadaye. Wachezaji wengine wanakera kweli.
 
Rogers simchukii ni manager Mzuri ila Leo kachemsha angeweka majembe nyuma Sakho na Cichoko na Lucas alikuwa Better player kamtoa Glenn Johnson Leo ndio Poor player wetu. Everton ndio ilikuwa timu ya kushinda bila kipa wetu MAn of the match hili kosa akilirudie teeeeeeeeena wangekuwepo hao juu na mbolea 2 Striker Everton tungewamaliza zamani. Everton wananishangaza wakicheza na LFC na UNited wanapania ila Arsenal wanapigwa hata 6. Mourinho anafurahi kawapa Lukaku sababu za kuuwa timu ambazo anajuwa zitakuwa juu ya Chelsea, mnaweza kusema katupa Moses ila Moses mtu huna uhakika atacheza vizuri au la Lukaku lazima atacheza vizuri kumuhakikishia Kama apewe number Chelsea.
 
Back
Top Bottom