Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bado 'set pieces' zinatushinda kabisa. Mechi nyingi tunapoteza kwa kushindwa kukaba mipira ya kona na free kicks..

Tunahitaji defensive midfielder zaidi ya Lucas na pia playmaker kama backup ya Countinho.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Rogers simchukii ni manager Mzuri ila Leo kachemsha angeweka majembe nyuma Sakho na Cichoko na Lucas alikuwa Better player kamtoa Glenn Johnson Leo ndio Poor player wetu. Everton ndio ilikuwa timu ya kushinda bila kipa wetu MAn of the match hili kosa akilirudie teeeeeeeeena wangekuwepo hao juu na mbolea 2 Striker Everton tungewamaliza zamani. Everton wananishangaza wakicheza na LFC na UNited wanapania ila Arsenal wanapigwa hata 6. Mourinho anafurahi kawapa Lukaku sababu za kuuwa timu ambazo anajuwa zitakuwa juu ya Chelsea, mnaweza kusema katupa Moses ila Moses mtu huna uhakika atacheza vizuri au la Lukaku lazima atacheza vizuri kumuhakikishia Kama apewe number Chelsea.

***Hayo 'majembe' wote ni wageni, na hii ni DERBY match...pressure ni kubwa mno, ilihitaji 'wenyeji' wazoefu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hizi ndio Derby sasa kuhusu Mirallas sio mbaya hakutolewa sababu yakutotolewa ni tabia ya Suarez angemkata mwengine angekula Red, Joey Allen ndio aliwapa Nguvu Everton 3-1 Everton wasingerudi Kabisa. Everton sasa hivi wanacheza vizuri Glenn Johnson bado na hasira naye vile vichwa Lukaku Mbele ya Sakho au Toure EPL the Best of The Best Europe sababu game Kama hizi.
 
Soda unapoifungua mara ya kwanza ama mwanzoni inakuwa tamu kutokana na nguvu ya gesi. Gesi ikiisha tu basi, ndiyo sawa na hawa jamaa. Mwanzoni kelele na mipira mirefu kwa wiiiiiiiiingi huku wakiongoza ligi wakati wenzao wako bize na ligi za mabingwa. Wenzao wakijipanga kuchukua ubingwa May unakuta ile timu ya nguvu ya soda iko nyuma point 30 au zaidi. Sasa unabaki kujiuliza, hivi hii timu si ndiyo ile iliyokuwa inapiga kelele za gesi? Leo wameponea chupu chupu, lakini outcome yao ya kumaliza ligi mwaka huu inaanza kuonekana sasa November. Come May utaona watu wako nyuma point 30 ya Man Utd. au City.
 
Man City ya Sunderland FC? Thubutu.Na hii Scums inayochezea kichapo pale Old Toilet? Mwaka huu mgumu sana kwenu
 
Bado 'set pieces' zinatushinda kabisa. Mechi nyingi tunapoteza kwa kushindwa kukaba mipira ya kona na free kicks..

Tunahitaji defensive midfielder zaidi ya Lucas na pia playmaker kama backup ya Countinho.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Set pieces imekuwa ugonjwa wa timu kubwa karibu zote EPL Mancity,ManUnited,Chelsea,Arsenal wote wanafungwa hayo magoli
 
Liverpoolfc ushindi muhimu Leo ila na wasiwasi Steve Bruce atajaza tax za New York nyuma kibao Kama ikienda HT 0-0 uje LFC anaondoka na draw au kufungwa Kama alivyosema Belo set pieces zinauwa timu kubwa.
 
Ah Rogers naye mbona anaanza kubadilisha timu ovyo??.? Au ndio Bet fix anaanza kuniuzi mtu huzarau timu.
 
Huyu Moses anaanguka tu Leo listi bomu na wachezaji hakuna anayecheza sitoshangaa kupiga 2 au Suarez Leo kuleta jengine la ajabu utumbo tu sijui wamekula nini Jana.
 
Haaahaaaa! Pazi angalia usipate presha... Mechi yetu hii tutashinda.
 
Huyu Moses anaanguka tu Leo listi bomu na wachezaji hakuna anayecheza sitoshangaa kupiga 2 au Suarez Leo kuleta jengine la ajabu utumbo tu sijui wamekula nini Jana.

Haya tuone. Kuna uwezekano mkala kichapo leo.
 
Hee heheheee mmepigwa cha tatu na kukimbia thread.

Come on Hull City.
 
Hull City has made history. For the first, they have beaten Liverpool at Kingston Communication Stadium. Mbu poleni.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Naona mnataka kurudi kwenye nafasi yenu kwa kulazimisha,na mwokozi wenu Daniel kaumia ikifika January mtakuwa mmeshafika kwenye nafasi yenu
 
Hull City has made history. For the first, they have beaten Liverpool at Kingston Communication Stadium. Mbu poleni.

....hehehe, wanipa pole sababu ndiye mwanzilishi wa thread hii ee?

.... January 11th, 2009 niliona ni vyema #chama hili nalo likapata thread yake
wakati huo QuickMover aka Quemu, Mzee ES, na wengineo wachache walikuwa wanashangilia kimya kimya
chama hili nikaona aahh, acha niitupie humu kina TIMING waendelee nayo...

....Guys, YOU WILL NEVER WALK ALONE... hebu iendelezeni thread yenu, duh, mmeuchuna as if hamuongozi league? au hamjiamini amini?

haya.... nitarudi tena humu mpaka mzoee!!!
 
Last edited by a moderator:
ah nilisema tutapigwa 2 timepigwa 3 Huyu Rogers zarau hazifai kisa Moses na Sterling wamelilia hawapangwi haimaanishi uwapange kina Sakho kina Coutniho,Cichoko kweli wakukaa bench? Alete natural number 9 na Middle kati sio handerson bora acheze Luis Alberto na Johnson aanze bench Flanagan aje kulia skertel na Sakho pembeni Cisokho kati Lucas,SG, na Luis Alberto na Coutinho wanachezesha Luis na Raheem basi sio kuzarau timu. Leo Mignolet 5, Johnson 3,Toure 4.5' Skertel 8 Flanagan 5.5 Lucas 5.5, SG 6.5 ,Moses -0 , Raheem 5, Suarez 5.5 na Handerson Kama nyuma ya Siluri Sita -0(zero) Big Bichwa na masikio. Na chukka jamiiforum holiday mpaka January ikimalizika sign. Rogers kasababisha kuwarudisha watani kuja kufaniwa tena kwenye hii Thred nampa 0(zero) :frusty:.
 
Back
Top Bottom