Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona mnataka kurudi kwenye nafasi yenu kwa kulazimisha,na mwokozi wenu Daniel kaumia ikifika January mtakuwa mmeshafika kwenye nafasi yenu
Hehehehe sio kufika nafasi ambayo mpo? Sie ile nafasi ambayo Tupo hehehehe. Rogers kawapa watu midomo lol ngoja nichukue holiday jamiiforum Kama msafirisayo mpaka January mwishoni nitarudi.
 
ah nilisema tutapigwa 2 timepigwa 3 Huyu Rogers zarau hazifai kisa Moses na Sterling wamelilia hawapangwi haimaanishi uwapange kina Sakho kina Coutniho,Cichoko kweli wakukaa bench? Alete natural number 9 na Middle kati sio handerson bora acheze Luis Alberto na Johnson aanze bench Flanagan aje kulia skertel na Sakho pembeni Cisokho kati Lucas,SG, na Luis Alberto na Coutinho wanachezesha Luis na Raheem basi sio kuzarau timu. Leo Mignolet 5, Johnson 3,Toure 4.5' Skertel 8 Flanagan 5.5 Lucas 5.5, SG 6.5 ,Moses -0 , Raheem 5, Suarez 5.5 na Handerson Kama nyuma ya Siluri Sita -0(zero) Big Bichwa na masikio. Na chukka jamiiforum holiday mpaka January ikimalizika sign. Rogers kasababisha kuwarudisha watani kuja kufaniwa tena kwenye hii Thred nampa 0(zero) :frusty:.
Khaaa! Pazi, punguza hasira. Kweli hii mechi ilikuwa ya kushinda lkn dharau na kujidai ni mechi ya kufanyia 'majaribio' ya wachezaji imetugharimu. Lakini mkuu ndo uchukue 'likizo' kweli?!
 
Leo imekuwa siku mbaya kweli...Sturridge atakuwa nje kwa kama miezi miwili, kichapo toka hull...Aggrrrrrrh... Ila tusikate tamaa tutaibuka tu. YNWA.
 
Defence yenu imeanza kuwa nyanya ,angalia hizi game

Arsenal 2 Liverpool 0

Everton 3 Liverpool 3

Hull City 3 Liverpool 1

Ikifika January mtakuwa kwenye ile nafasi yenu
 
Defence yenu imeanza kuwa nyanya ,angalia hizi game

Arsenal 2 Liverpool 0

Everton 3 Liverpool 3

Hull City 3 Liverpool 1

Ikifika January mtakuwa kwenye ile nafasi yenu

Mechi ijayo kocha asilete dharau kama mechi ya jana.
 
Hehehehe sio kufika nafasi ambayo mpo? Sie ile nafasi ambayo Tupo hehehehe. Rogers kawapa watu midomo lol ngoja nichukue holiday jamiiforum Kama msafirisayo mpaka January mwishoni nitarudi.

Pole sana Mpira ni mchezo wa makosa hakuna dharau mmefungwa tu, nenda likizo msimu mzima maana January hali yenu itakua mbaya zaidi. Mi nipo kama kawaida ni jana tu nilikua safarini nikashindwa kuwa jukwaani
 
liverpool iko poa sana,tatizo coutinho hakuanza sababu ana maumivu ya ankle,ila kwa mechi ya kesho ni lazima norwich ale zake..


"Nlikuwepo":bolt:
 
Leo wale wote wa midomo mirefu hawapo hapa?! Kweli unafiki ni mzigo... Yaani hawajui namna ya kuingia hapa au?!
Hongereni The Reds wote, point tatu muhimu na magoli ya kutosha... YNWA.
 
Leo wale wote wa midomo mirefu hawapo hapa?! Kweli unafiki ni mzigo... Yaani hawajui namna ya kuingia hapa au?!
Hongereni The Reds wote, point tatu muhimu na magoli ya kutosha... YNWA.
Kaka,maisha bila unafki hayaendi,wale mashabiki wa Everton II walikuwa wanachonga sana ila kwa kuwa wao jana wamefungwa na ndugu zao Everton I,wanashindwa hata kuamka leo.
Nafasi ya tisa ni saizi yaoo...

"NLikuwepo":bolt:
 
Dk. 70 LFC 2-1 West Ham United. Martin Skrtel kapiga OG kama kawaida yake.
 
Man City and Chelsea both are still held.

Stoke 2-2 Chelsea and Soton 1-1 Man City.
 
Final results:

Liverpool 4-1 West Ham United
Stoke 3-2 Chelsea
Southampton 1-1 Man City

...and Liverpool back to 2nd position. The chase continues.
YNWA.
 
Naomba kesho Arsenal ifungwe ili tutofautiane point 4
 
Maisha bila unafiki hayaendi,wale wanafiki wa New Trashfford wamekimbia na jukwaa lao pia wamelikimbia.
Chelsick nao vivo hivyo..
We back on second place baby,tulivumilia almost misimu mitano na sasa twala matunda..
R.I.P Mandela,you'll never walk alone..Tumempa mtu goli nyingi leo kukuenzi shabiki mwenzetu.
Suarez ana goli kumi na nne ndani ya mechi kumi..
Kabla ya mechi ya leo,tottenham walikuwa na magoli 13 kama sikosei ndani ya mechi kumi na nne pamoja na usajili wao wa pauni milioni mia.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Jamani bado nauliza, wale wapiga picha mahiri wa humu waliibiwa camera zao wakati wa mechi zetu mbili zilizopita?!
 
Back
Top Bottom