Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punainen upo? liverpoolfc wanaonea charaza Fulham. Liverpoolfc YNWA!.
Naomba liverpoolfc wa Nunue Lallana wa Southampton na ma midfield Wenye Nguvu hapo SG na Fulham kacheza vizuri sababu alipata mapumziko ya week.
Suarez ni striker mzuri lakini wakati mwingine ubinafsi wake unai cost timu. Amekosa magoli ya wazi si chini ya mawili ambayo kama angeweka uchoyo pembeni basi yangetinga panapostahili.Mkuu Pazi, nilikuwepo ila sikuwa kwenye nafasi ya kuingia hapa... Point tatu ni muhimu ila sikuridhika na idadi ya magoli tuliyopata, kwa hali ya Fulham ya sasa ilifaa tupate angalau goli sita kwenda juu, siyo hizi nne.
Suarez ni striker mzuri lakini wakati mwingine ubinafsi wake unai cost timu. Amekosa magoli ya wazi si chini ya mawili ambayo kama angeweka uchoyo pembeni basi yangetinga panapostahili.
Kwa magoli ya wazi waliyokosa Liverpool, Fulham ilibidi watandikwe hata nane.
Kuna kitu kimoja Liverpool wanapaswa wakijue katika ligi ya msimu huu...kwamba ni muhimu sana kujiwekea akiba ya kutosha ya GD.
Kwa jinsi ligi ya msimu huu inavyokwenda, huenda tukaja kujutia mabao tuliyostahili kuyafunga halafu tukayapotezea.
Hodi kwenu wana liverpool naombeni ushirikiano wenu mie mgeni hapa. YNWA
Huyu Henderson kupewa namba kila mechi tena anamaliza dakika 90 ananifanya nimchukie Rogers
Mbrazil Alberto ndio namba yake ile. Henderson anachojali ni nywele zake zisichafuke. anakimbiakimbia tu bila malengo. Hafai kuchezea hata Taifa StarsUnataka ampange nani,Joe Allen? Pamoja na kwamba wachezaji wa kingereza hawana vipaji lakini wanasaidia kwa kuwa wana nguvu na wanaweza pumzi kulinganisha na wengine.Nafikiri tatizo kubwa la Henderson sio mzuri kwenye kutengeneza magoli na kufunga magoli
Huna jipya umeona hapo ulichosema mwanzo sturidge kawanyamazisha umeona uje na kengine Nzi kakae kwenye it Mamatits United.