Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukweli ni kuwa mechi ya leo itakuwa ngumu lakini nategemea Liver wafanye kweli. Tunamkosa Enrique lakini tuna vijana wa kutosha kuimaliza Arse8.
 
Ukweli ni kuwa mechi ya leo itakuwa ngumu lakini nategemea Liver wafanye kweli. Tunamkosa Enrique lakini tuna vijana wa kutosha kuimaliza Arse8.
Naona peke yangu ndio na wasiwasi wa kufungwa yani sioni kushinda Flanagan itakuwa upenyo midfield Wenzetu wametuzidi Arsenal nafikiri watashinda ila tukishinda itakuwa Bonus kubwa. Tucheze mpira ila tukiweka kukaba juuu Arsenal watatumaliza hata 4.
 
Huyu handerson kushindwa kufunga vipi anakimbia kwakuinama Yule babu alisema kweli.
 
Mkuu Pazi,nimeshangaa kumbe hata Johnson hayupo! Kikosi kiko hivi:
Mignolet, Toure, Skrtel, Sakho, Flanagan, Gerrard, Lucas, Henderson, Cissokho, Sturridge, Suarez..
Subs: B. Jones, Agger, Coutinho, Moses, Allen, Sterling na Kelly.
Kila la heri the Reds wote.
 
Mkuu Pazi, naona vijamaa vimetuwasha kamoja! Bado nategemea tutapata magoli kadhaa kwenye mechi hii...YNWA.
 
msiwe na wasiwasi wana liver wenzangu 1st half ilikua yao na 2nd half ni yetu pa1 sana "YOU WILL NEVER WALK ALONE"
 
Flog of the game:
1. Gerard
2. Sakho
3. Lucas
Chemistry yao bado sijaielewa kabisa mpira pale kati haikai.!!
 
nataraji liverpool warudi second half na kushinda game ya leo. ynwa
 
Flog of the game:
1. Gerard
2. Sakho
3. Lucas
Chemistry yao bado sijaielewa kabisa mpira pale kati haikai.!!


Mkuu nakwambia dk 90 ndiyo msema kweli ila hakika nafsi yangu bado naipa L'pl Fc ushindi.
 
Utumbo tu natizama middle lazima ziwe Kama Mascherano rusha mtu na mpira sio unawatizama wanapigiana :frusty::frusty::frusty::frusty::help: January please!.
 
Leo wachezaji wa LFC nawapa wote Zero mark Kasoro Coutinho na Skertel hili nifundisho kwamba sie bado sana kwenye neno ubingwa tunatizama Top 4. Lazima Middle zinunuliwe SG asugue bench Wenger amekaa nao wale watoto kwa muda mrefu alichoongeza ni ujuzi Kama Ozil! Tusife tamaa mapema Rogers namuaminia.
 
Dah! Tumekubali kichapo kirahisi hivi?! Nategemea iwe fundisho kuwa tunatakiwa kukaza musuli na kukomaa zaidi...
Poleni sana The Reds wenzangu wote. YNWA.
 
.......#mburukenge wapi leo?
Mnashabikia Liverpool kwa msimu ee?

Daaaaadddeki, kimyaaaaa!
Naa bado, keep on walking alone buddies
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwi kwi kwi kwi LOL!!!!....#Mburukenge wanadai leo hawana timu hahahahaha...eti walikuwa wanashangaa shangaa tu huu uzi mbona mrefu sana!? 🙂🙂

.......#mburukenge wapi leo?
Mnashabikia Liverpool kwa msimu ee?

Daaaaadddeki, kimyaaaaa!
Naa bado, keep on walking alone buddies
 
Back
Top Bottom