Kama umefuatilia mechi mbili za mwisho za Liverpool na hujui marefa waliboronga kiasi gani, basi wewe kweli utakuwa huchezi mbali na viroba...
mkuu usemi wako tayari umesadifu/ umekina kikosi cha mourinho leo? Chezea mo wewe!
Chezeni mpira mnalalamikia marefa ili iweje...michezaji imezeeka mpaka ime expire bado mnaota kuchukua kombe..kanyweni viroba kule..
Mkuu nilikwambia na yametimia!
Mimi Naelewa Falsafa ya Chelsea vizuri sn! Yani kwa game Km hizi inakua kuna kitu unakihisi mpaka kwenye Damu!
Abramovic na Mourinho na wachezaji na mashabiki na uongozi wote Wa timu wako pamoja! Kwahiyo kushinda hiyo ni lazima! Man city wao wanajifanya pale Etihad hawafungiki na timu ikiweka mguu pale inapigwa vibaya Km mbwa mwizi! Sisi Chelsea Mwezi Wa pili tutakua Etihad, mtaona Mou atakavyo mfanya city!
Haya mkuu hongera kwa ushindi.
By the way naona sa hivi Liverpooll walipata shida kutokana na kuwa na kikos finyu coz wachezaji ni walewale wamecheza mechi kubwa mfululizo na kwa kikosi cha jana alibadirika Agger peke yake wengine ni wale wale na ndio maana kiberenge (sterling) aliwah kupoteana na hii ni kutokana na umri wake, kutoka kwa Allen pia kuliwapoteza Liver na kuingia kwa yule bwa mdogo Smith ndio kukafanya liver wacheze kama wapo tisa Uwanjani.
All in All hongera kwa ushindi na punguza mbwembwe Tafadhari.
Kheri ya mwaka mpya kwa wadau wote wa Jukwaa hili.
HAPPY NEW YEAR 2014.