Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama umefuatilia mechi mbili za mwisho za Liverpool na hujui marefa waliboronga kiasi gani, basi wewe kweli utakuwa huchezi mbali na viroba...

Chezeni mpira mnalalamikia marefa ili iweje...michezaji imezeeka mpaka ime expire bado mnaota kuchukua kombe..kanyweni viroba kule..
 
mkuu usemi wako tayari umesadifu/ umekina kikosi cha mourinho leo? Chezea mo wewe!


Ukiwa na Mourinho na Abramovic na Chelsea! Yani kila kitu kinakwenda vizuri!

Kikosi kilichopangwa kulikua vizuri sn na ngome ilikua nzuri sn! Coutinho na Sterling na Suarez wamefichwa Leo!

Nasubiri game ya Chelsea dhidi Man City ndani ya etihad hiyo Mwezi Wa pili! Na hapo utamjua Mourinho maana ndugu zetu wamekua wakifika hapo wananyongwa!

In Chelsea We Trust.
 
Chezeni mpira mnalalamikia marefa ili iweje...michezaji imezeeka mpaka ime expire bado mnaota kuchukua kombe..kanyweni viroba kule..

Kweli viroba vimekuharibu! Hivi bila kuwa na ulevi kichwani, ukiulizwa timu yenye wachezaji wazee utaitaja Liverpool! Kweli kabisa?! Wewe una uhusiano mkubwa sana na Div-0... Pole sana.
 
Poleni wakuu nasikia Mike Dean chijui Webb yule kawaua ...................... ........ komaeni nao tu. Mafioso wakubwa hao lazima walimjazia mpunga.
 
Mkuu nilikwambia na yametimia!

Mimi Naelewa Falsafa ya Chelsea vizuri sn! Yani kwa game Km hizi inakua kuna kitu unakihisi mpaka kwenye Damu!

Abramovic na Mourinho na wachezaji na mashabiki na uongozi wote Wa timu wako pamoja! Kwahiyo kushinda hiyo ni lazima! Man city wao wanajifanya pale Etihad hawafungiki na timu ikiweka mguu pale inapigwa vibaya Km mbwa mwizi! Sisi Chelsea Mwezi Wa pili tutakua Etihad, mtaona Mou atakavyo mfanya city!

Haya mkuu hongera kwa ushindi.
By the way naona sa hivi Liverpooll walipata shida kutokana na kuwa na kikos finyu coz wachezaji ni walewale wamecheza mechi kubwa mfululizo na kwa kikosi cha jana alibadirika Agger peke yake wengine ni wale wale na ndio maana kiberenge (sterling) aliwah kupoteana na hii ni kutokana na umri wake, kutoka kwa Allen pia kuliwapoteza Liver na kuingia kwa yule bwa mdogo Smith ndio kukafanya liver wacheze kama wapo tisa Uwanjani.
All in All hongera kwa ushindi na punguza mbwembwe Tafadhari.
 
Haya mkuu hongera kwa ushindi.
By the way naona sa hivi Liverpooll walipata shida kutokana na kuwa na kikos finyu coz wachezaji ni walewale wamecheza mechi kubwa mfululizo na kwa kikosi cha jana alibadirika Agger peke yake wengine ni wale wale na ndio maana kiberenge (sterling) aliwah kupoteana na hii ni kutokana na umri wake, kutoka kwa Allen pia kuliwapoteza Liver na kuingia kwa yule bwa mdogo Smith ndio kukafanya liver wacheze kama wapo tisa Uwanjani.
All in All hongera kwa ushindi na punguza mbwembwe Tafadhari.

Mkuu si mbwembwe Mkuu!
Mkumbuke Messi na Barc! Mourinho alikua anafanya nini akiwa Chelsea, Internazionale Na R Madrid. Huyu alikua akiweka mkakati anazibiti watu na vipaji vyao vya Hali ya juu na si Km kina Sterling na Coutinho na Suarez Kwahiyo kupotea wale wachezaji ni halali kabisa!

Subiri mechi ya Man City na Chelsea tarehe 3 Feb next year ndo utamuona Mou kua ni nani!
Spurs alipigwa 5 bila
Man Utd 4: kwa 1
Arsenal 6: kwa 3
Liverpool 2 kwa 1
Chelsea??????????

Hapo ndipo watakapofia uwajani Akina Ramires!
 
Bcq89PGIQAA5h2e.jpg





na burungutu alilopewa hapa chini .... ...



BcrgC7mCIAAiSMl.jpg



Chezea mafioso weye .... ...... ...
imekula kwenu khe khe kheeeeeeeeeeKheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee




 
Kheri ya mwaka mpya kwa wadau wote wa Jukwaa hili.
HAPPY NEW YEAR 2014.
 
Wakuu, tuko uwanjani muda huu dhidi ya Hull City... YNWA.
 
Nilisema nitarudi January! Leo matokeo ni mazuri muhimu tu sign majembe kati na wing ya kulia kushoto apone tu Enrique ila kati aje Kama Yule middle ya Porto wanamuita Octopus Fernandos Reges na aje mtu Kama Muhamed Salah ila Tetesi Muhamed Salah anaendana Arsenal! LFC lazima iwe na middle zenye Nguvu na kuharibu mpira kati, LFC namatumaini watamaliza top 4. Ubingwa sizani na Arsenal nafikiri watamaliza mabingwa japo watu hufikiria ni City au Chelsea, na ligi itazidi kwenda juu chini ila tutamaliza top 4. YNWA!
 
Haaahaaaaa! Mkuu Pazi, karibu sana! Binafsi sijawahi kufikiria kuwa msimu huu tutachukua ubingwa, ila huwa na-enjoy sana jinsi mahasimu wanavyowashwa tukiwa kileleni! Huwa wanachanganyikiwa utafikiri wanataka kujinyonga.
 
liv-hul-1314-ps20.jpg

Namba 20 hiyo,kule Man U anaivaa nani vileee hii namba?
Mechi 15,goals 20.
#YNWA

"Nllikuwepo":bolt:
 
Back
Top Bottom