Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunashukuru rubaman kwa kutupa hongera kwa sababu britannia stadium kwetu huwa ni majanga hata benitez analijua hilo, ukiona hivyo jua mwaka huu tupo vzr
 

Aspas on the Move.

Sterling..

Skipper for Aspas..

Take it HATERS...

El Pistorelo...

Take that...

"Nlikuwepo":bolt:


Naona siku Hizi mmekosa nguvu!

Mlikua na speed ya nguvu ya soda sasaivi kimya!
 
Sio nguvu ya soda jamaa,liverpool iko njema sana..

"Nlikuwepo":bolt:


Timu yenu imepoa sasaivi! Mlikua mnajaa hapa jukwaani na kelele nyingi za kumsifia Suarez au Zombi mnyonya damu! Saiz kimya!
 
Kesho tunamkanda Aston Villa na KUENDELEZA HOME RECORD THIS SEASON.. MPAKA SASA WE WON 10 GAMES OUT OF 11!
SAS KAMA KAWA KAMA DAWA.YOU'LL NEVER WALK ALONE"
 
wenyeji mpo? Kama kawa kama dawa chama lipo dimbani...uwiii tumetandikwa goli 1
 
half time, livepool 1 aston villa 2. Liver leo tumeelemewa ile mbaya. Hali kama itaendelea kama ilivyokuwa kipindi cha kwanza tunaweza kuchambia boga!
 
Kuna tetesi kuwa Loserfools mmewashikia Manure nafasi inawezekana ikawa kuna uhalisia.
 
Kuna huu mchezo wa bwana mdogo Suarez kujirusha rusha ovyo kama yuko kwenye mashindano ya kuogelea...inakera sana
 
Mlikua Mnawaza ubingwa sasa cha moto mmeanza kukiona!

Na bado!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…