Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunashukuru rubaman kwa kutupa hongera kwa sababu britannia stadium kwetu huwa ni majanga hata benitez analijua hilo, ukiona hivyo jua mwaka huu tupo vzr
 
So far timu ambayo haijabebwa msimu mzima ni Arsenal. Hongereni Liverpool kwa ushindi wa kwanza kabisa Britannia
na katika timu msimu huu ilianza kudhulumiwa moja ni liver
liver.PNG
 
liv-hul-1314-ps26.jpg

Aspas on the Move.
liv-hul-1314-ps21.jpg

Sterling..
liv-hul-1314-ps24.jpg

Skipper for Aspas..
liv-hul-1314-ps18.jpg

Take it HATERS...
liv-hul-1314-ps19.jpg

El Pistorelo...
liv-hul-1314-ps13.jpg

Take that...

"Nlikuwepo":bolt:


Naona siku Hizi mmekosa nguvu!

Mlikua na speed ya nguvu ya soda sasaivi kimya!
 
Sio nguvu ya soda jamaa,liverpool iko njema sana..

"Nlikuwepo":bolt:


Timu yenu imepoa sasaivi! Mlikua mnajaa hapa jukwaani na kelele nyingi za kumsifia Suarez au Zombi mnyonya damu! Saiz kimya!
 
Kesho tunamkanda Aston Villa na KUENDELEZA HOME RECORD THIS SEASON.. MPAKA SASA WE WON 10 GAMES OUT OF 11!
SAS KAMA KAWA KAMA DAWA.YOU'LL NEVER WALK ALONE"
 
half time, livepool 1 aston villa 2. Liver leo tumeelemewa ile mbaya. Hali kama itaendelea kama ilivyokuwa kipindi cha kwanza tunaweza kuchambia boga!
 
Kuna tetesi kuwa Loserfools mmewashikia Manure nafasi inawezekana ikawa kuna uhalisia.
 
Kuna huu mchezo wa bwana mdogo Suarez kujirusha rusha ovyo kama yuko kwenye mashindano ya kuogelea...inakera sana
 
Mlikua Mnawaza ubingwa sasa cha moto mmeanza kukiona!

Na bado!
 
Back
Top Bottom