Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
That's exactly where Madchester United is heading
Yule jamaa mtafunaji wa big G alipoaachia madaraka alijuwa timu inahitaji mabadiriko na akasema muungeni mkono kocha mpya atakayekuja kwani alishajuwa kuwa timu ina wazee wengi hivyo alitaka aje kocha mpya aisuke timu kwa wachezaji wake. So far huyu kocha kafanikiwa kupata wachezaji wawili tu na msimu ukiisha ndipo ataisuka upya timu yake. Cha kushangaza Man Utd itachukua ubingwa mwakani ama baada ya mmiaka miwili ijayo Liverpool bado itakuwa inatafuta namna ya kugombania nafasi ya 10 kwenye ligi kama kawaida yao kasoro mwaka huu watakapomaliza nafasi ya 4.
Speculation na reality na vitu viwili tofauti. Ya Liverpool yalishatokea na bado yanaendelea ila kwa Man Utd ni wishful thinking provided foundation ya ubingwa iko pale pale. So your point is obsolete.
Yes kama kawa......1. Simon mignolet 2. Adam Johnson 3. Jon Flanagan 4. Danny Agger 5. Martin skirtel 6. Steven Gerald. 7. Joe Allen. 8. Jordan henderson 9. Luis Suarez 10. Philipe Cotinho 11. Danny Sturidge. This is anfield
Tukumbuke msimu wa 2008/2009 ambao ulikuwa mzuri kwa liverpool.Ingawa haikuchukua ubingwa kwa kumaliza na points 86,points 4 nyuma ya Man united ambayo ndiyo ilichukua ubingwa.
Baada ya msimu huo liverpool ikapotea kabisa kwenye top 4 kwa misimu mitatu mfululizo.
Baada ya mechi 31 msimu huo liverpool ilifikisha points 67.Msimu huu baada ya mechi hizo 31 liva wanazo points 65, points mbili tu pungufu ya points walizokuwa nazo msimu huo wa mwisho kwa mafanikio kabla ya misimu mibaya mitatu iliyofuatia kwa idadi sawa ya mechi 31.
Swali ni je kwa mfanano huo wa points kwa misimu hii miwili tofauti,inawezekana mwaka huu pia ukawa wa mafanikio ya kiasi ya kuweza kuingia kwenye records kama msimu huo wa 2008/2009?
Yule jamaa mtafunaji wa big G alipoaachia madaraka alijuwa timu inahitaji mabadiriko na akasema muungeni mkono kocha mpya atakayekuja kwani alishajuwa kuwa timu ina wazee wengi hivyo alitaka aje kocha mpya aisuke timu kwa wachezaji wake. So far huyu kocha kafanikiwa kupata wachezaji wawili tu na msimu ukiisha ndipo ataisuka upya timu yake. Cha kushangaza Man Utd itachukua ubingwa mwakani ama baada ya mmiaka miwili ijayo Liverpool bado itakuwa inatafuta namna ya kugombania nafasi ya 10 kwenye ligi kama kawaida yao kasoro mwaka huu watakapomaliza nafasi ya 4.
Wewe jamaa kweli Mbishi,anyway basi tumekusikia!
Nenda kule kwenye uzi wa Man city na Chelsee ukawaambie na wao,sisi tumeshakuelewa tayari mkuu
Ahsante kwa taarifa! Inaonekana mafanikio yetu msimu huu yanakuuma sana..! Kumbuka hata kama tusingekuwa pale juu sasa nanyi pia msingekuwepo pale vilevile,sasa hata sijui kipi hasa kinachokuuma hapo,halafu kwanini utuandame sisi tu wakati juu yenu kuna timu nyingine(Ukiiondoa Liverpool) tano!?
Huu ndo wivu wa kike sasa.
mxiuuuuuuuuuuuuuuu!!
I like it...YNWA!Manure United Fans wanaumia sana juu ya MAFANIKIO ya Liverpool kwa sasa, Ila Mtafanyaje sasa, Mpinzani wenu mkubwa aliyekuwa anawanyima usingizi kila siku Uingereza KISHAAMKA tayari...Well, Mnatakiwa mfurah pia Coz hicho kipind Tulichokuwa tumelala mlifanikiwa kuvunja Record yetu Ya kubeba league titles Nyingi zaidi...Well mnatakiwa mjue WAFALME WAMERUDI....Red iko moja Tu ENGLAND, and thats LIVERPOOL...Kama hutak kamuue MOYES..
Keep on dreaming my friend... kwa style ya kocha mliyenaye???At most a year which is about to end. Mwakani tegemea dozi kama kawa provided kutakuwa na new sort of players hivyo si haba.
Tukumbuke msimu wa 2008/2009 ambao ulikuwa mzuri kwa liverpool.Ingawa haikuchukua ubingwa kwa kumaliza na points 86,points 4 nyuma ya Man united ambayo ndiyo ilichukua ubingwa.
Baada ya msimu huo liverpool ikapotea kabisa kwenye top 4 kwa misimu mitatu mfululizo.
Baada ya mechi 31 msimu huo liverpool ilifikisha points 67.Msimu huu baada ya mechi hizo 31 liva wanazo points 65, points mbili tu pungufu ya points walizokuwa nazo msimu huo wa mwisho kwa mafanikio kabla ya misimu mibaya mitatu iliyofuatia kwa idadi sawa ya mechi 31.
Swali ni je kwa mfanano huo wa points kwa misimu hii miwili tofauti,inawezekana mwaka huu pia ukawa wa mafanikio ya kiasi ya kuweza kuingia kwenye records kama msimu huo wa 2008/2009?
Tuna point 68 na siyo 65!
Ubingwa wakuu unakuja!!!!!
I can feel it, I can dream it..something real, something special, something everlasting.
It will be the best day of my life!!
Keep on praying, keep on believing, we are winning the trophy, and we gonna earn this title by beating both City and Chelsea..the writing is on the wall for everyone to read, I said it( In another forum-SSC) that we shall win the league this season, everybody called me nuts..now they are eating humble pie!
I'm sorry I haven't been on this forum much..I'm in another one but we are together..from the beginning to the end, come rain, come sunshine.
Pamoja...!Thanx.It was just an error.Nimerekebisha
We shall make it...YNWA!The remaining matches.
1.v Spurs(H)
2.v West Ham (A)
3.v Man city (H)
4.v Norwich(A)
5.v Chelsea(H)
6.v Crystal palace (A)
7.v Newcastle (H)
Shall we make it?I see it possible however it needs much concentration on each single game.The only obstacle can be the higher chances of our key player/s to be injured due to increasingly pressure towards the end of the league.
Otherwise the unmentioned club may surprisingly win the title.
The remaining matches.

LIVERPOOL FC - HONOURS AND TROPHIES
Liverpool Football Club are the most successful English football team and also one of Europe's most decorated clubs. We have won 58 major club honours - 10 of which have arrived in the last 10 years.
LEAGUE CHAMPIONS18 times1900/01, 1905/06, 1921/22, 1922/23, 1946/47, 1963/64, 1965/66, 1972/73, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1985/86, 1987/88, 1989/90
EUROPEAN CHAMPIONS5 timesBritish record1976/77 3-1 vs. Borussia Mönchengladbach1977/78 1-0 vs. Club Brugge1980/81 1-0 vs. Real Madrid1983/84 1-1 (4-2 in penalty shootout) vs. AS Roma2004/05 3-3 (3-2 in penalty shootout) vs. AC Milan
UEFA CUP WINNERS3 timesBritish record1972/73, 1975/76, 2000/01
FA CUP WINNERS7 times1964/65, 1973/74, 1985/86, 1988/89, 1991/92, 2000/01, 2005/06
LEAGUE CUP WINNERS8 timesEnglish record1980/81, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1994/95, 2000/01, 2002/03, 2011/12EUROPEAN SUPER CUP WINNERS3 timesBritish record1977, 2001, 2005
CHARITY SHIELD WINNERS15 times1963/64+, 1964/65+, 1965/66, 1973/74, 1975/76, 1976/77+, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1985/86*, 1987/88, 1988/89, 1989/90, 2000/01, 2006/07
SUPER CUP WINNERS Once1985/86
Further trophies
Football League Second Division Champions-41893/94, 1895/96, 1904/05, 1961/62
Lancashire League Champions-11892-93FA
Youth Cup Winners-21995/96, 2005/06
Reserves Division One Winners-161956/57, 1968/69, 1969/70, 1970/71, 1972/73, 1973/74, 1974/75, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1980/81, 1981/82, 1983/84, 1984/85, 1989/90, 1999/2000-