Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

That's exactly where Madchester United is heading

Speculation na reality na vitu viwili tofauti. Ya Liverpool yalishatokea na bado yanaendelea ila kwa Man Utd ni wishful thinking provided foundation ya ubingwa iko pale pale. So your point is obsolete.
 
Yule jamaa mtafunaji wa big G alipoaachia madaraka alijuwa timu inahitaji mabadiriko na akasema muungeni mkono kocha mpya atakayekuja kwani alishajuwa kuwa timu ina wazee wengi hivyo alitaka aje kocha mpya aisuke timu kwa wachezaji wake. So far huyu kocha kafanikiwa kupata wachezaji wawili tu na msimu ukiisha ndipo ataisuka upya timu yake. Cha kushangaza Man Utd itachukua ubingwa mwakani ama baada ya mmiaka miwili ijayo Liverpool bado itakuwa inatafuta namna ya kugombania nafasi ya 10 kwenye ligi kama kawaida yao kasoro mwaka huu watakapomaliza nafasi ya 4.

Endelea kujifariji. Madchester kwishney
 
Speculation na reality na vitu viwili tofauti. Ya Liverpool yalishatokea na bado yanaendelea ila kwa Man Utd ni wishful thinking provided foundation ya ubingwa iko pale pale. So your point is obsolete.

Hata ndugu zako Liverpool walianza mzahamzaha hivyo hivyo na wakafika walipo
 
Yes kama kawa......1. Simon mignolet 2. Adam Johnson 3. Jon Flanagan 4. Danny Agger 5. Martin skirtel 6. Steven Gerald. 7. Joe Allen. 8. Jordan henderson 9. Luis Suarez 10. Philipe Cotinho 11. Danny Sturidge. This is anfield

Hapo lazima chelsea akae na city...ubingwa huoooooo!
 
Tukumbuke msimu wa 2008/2009 ambao ulikuwa mzuri kwa liverpool.Ingawa haikuchukua ubingwa kwa kumaliza na points 86,points 4 nyuma ya Man united ambayo ndiyo ilichukua ubingwa.

Baada ya msimu huo liverpool ikapotea kabisa kwenye top 4 kwa misimu mitatu mfululizo.

Baada ya mechi 31 msimu huo liverpool ilifikisha points 67.Msimu huu baada ya mechi hizo 31 liva wanazo points 65, points mbili tu pungufu ya points walizokuwa nazo msimu huo wa mwisho kwa mafanikio kabla ya misimu mibaya mitatu iliyofuatia kwa idadi sawa ya mechi 31.

Swali ni je kwa mfanano huo wa points kwa misimu hii miwili tofauti,inawezekana mwaka huu pia ukawa wa mafanikio ya kiasi ya kuweza kuingia kwenye records kama msimu huo wa 2008/2009?

Ni 68 Mkuu
 
Yule jamaa mtafunaji wa big G alipoaachia madaraka alijuwa timu inahitaji mabadiriko na akasema muungeni mkono kocha mpya atakayekuja kwani alishajuwa kuwa timu ina wazee wengi hivyo alitaka aje kocha mpya aisuke timu kwa wachezaji wake. So far huyu kocha kafanikiwa kupata wachezaji wawili tu na msimu ukiisha ndipo ataisuka upya timu yake. Cha kushangaza Man Utd itachukua ubingwa mwakani ama baada ya mmiaka miwili ijayo Liverpool bado itakuwa inatafuta namna ya kugombania nafasi ya 10 kwenye ligi kama kawaida yao kasoro mwaka huu watakapomaliza nafasi ya 4.

Wewe jamaa kweli Mbishi,anyway basi tumekusikia!
Nenda kule kwenye uzi wa Man city na Chelsee ukawaambie na wao,sisi tumeshakuelewa tayari mkuu
Ahsante kwa taarifa! Inaonekana mafanikio yetu msimu huu yanakuuma sana..! Kumbuka hata kama tusingekuwa pale juu sasa nanyi pia msingekuwepo pale vilevile,sasa hata sijui kipi hasa kinachokuuma hapo,halafu kwanini utuandame sisi tu wakati juu yenu kuna timu nyingine(Ukiiondoa Liverpool) tano!?
Huu ndo wivu wa kike sasa.
mxiuuuuuuuuuuuuuuu!!
 
Mhabarishe huyo. Madchester kwishney. End of an SAF era
 
Manure United Fans wanaumia sana juu ya MAFANIKIO ya Liverpool kwa sasa, Ila Mtafanyaje sasa, Mpinzani wenu mkubwa aliyekuwa anawanyima usingizi kila siku Uingereza KISHAAMKA tayari...Well, Mnatakiwa mfurah pia Coz hicho kipind Tulichokuwa tumelala mlifanikiwa kuvunja Record yetu Ya kubeba league titles Nyingi zaidi...Well mnatakiwa mjue WAFALME WAMERUDI....Red iko moja Tu ENGLAND, and thats LIVERPOOL...Kama hutak kamuue MOYES..
 
I like it...YNWA!
 
At most a year which is about to end. Mwakani tegemea dozi kama kawa provided kutakuwa na new sort of players hivyo si haba.
Keep on dreaming my friend... kwa style ya kocha mliyenaye???

Hata mkinunua wachezaji kiasi gani...hawezi ku bounce back fast kama unavyoota rafiki, bouncing back z a process- jaribu kujifunza kupitia timu zingine.

Kitu kingine elewa kuwa kuna baadhi ya super players hawawezi kuja United simply bcoz ya kocha kimeo kama DM. Afu wakati nyie mnajipanga ujue na timu zingine zinajipanga pia...usifikiri zitakuwa zimezubaa tu zinawasubiri.

Ni hayo tu ndugu yangu mbishi.
YNWA.
 
Tukumbuke msimu wa 2008/2009 ambao ulikuwa mzuri kwa liverpool.Ingawa haikuchukua ubingwa kwa kumaliza na points 86,points 4 nyuma ya Man united ambayo ndiyo ilichukua ubingwa.

Baada ya msimu huo liverpool ikapotea kabisa kwenye top 4 kwa misimu mitatu mfululizo.

Baada ya mechi 31 msimu huo liverpool ilifikisha points 67.Msimu huu baada ya mechi hizo 31 liva wanazo points 65, points mbili tu pungufu ya points walizokuwa nazo msimu huo wa mwisho kwa mafanikio kabla ya misimu mibaya mitatu iliyofuatia kwa idadi sawa ya mechi 31.

Swali ni je kwa mfanano huo wa points kwa misimu hii miwili tofauti,inawezekana mwaka huu pia ukawa wa mafanikio ya kiasi ya kuweza kuingia kwenye records kama msimu huo wa 2008/2009?

Tuna point 68 na siyo 65!
 
Ubingwa wakuu unakuja!!!!!

I can feel it, I can dream it..something real, something special, something everlasting.

It will be the best day of my life!!

Keep on praying, keep on believing, we are winning the trophy, and we gonna earn this title by beating both City and Chelsea..the writing is on the wall for everyone to read, I said it( In another forum-SSC) that we shall win the league this season, everybody called me nuts..now they are eating humble pie!

I'm sorry I haven't been on this forum much..I'm in another one but we are together..from the beginning to the end, come rain, come sunshine.
 
I like your attitude...but let's not be carried away. We should focus on one game at a time.
Bring Spurs first... YNWA!
 
The remaining matches.
1.v Spurs(H)
2.v West Ham (A)
3.v Man city (H)
4.v Norwich(A)
5.v Chelsea(H)
6.v Crystal palace (A)
7.v Newcastle (H)
Shall we make it?I see it possible however it needs much concentration on each single game.The only obstacle can be the higher chances of our key player/s to be injured due to increasingly pressure towards the end of the league.

Otherwise the unmentioned club may surprisingly win the title.
 
We shall make it...YNWA!
 
Mkuu Mnyakatari soma maneno ya kocha bora duniani kwa sasa

Pep Guardiola when asked about the Champions league match against Man Utd:

"I consider us to be one, if not, the best team in the world. There's only one team in Europe playing better than us and that's Liverpool FC."

Last edited by a moderator:
We shall make it...YNWA!

Bj06_uGCIAAb1QW.jpg

Kwenye Training jana Asubuhi...
 
Mkuu Mbu,

Tunaomba utuwekee hizi record zetu hapo juu,tushawaambia sana Mods naona wametukaushia! Kwa kuwa wewe ndo ulietufungulia uzi tunaamini hutatufanyia roho mbaya hata kama tuliwafunga Goli tano kwa Moja(Hata nyie mlitufunga lakini),anyway,tunaomba msaada wako mkuu...hebu edit hapo please...!

LIVERPOOL FC - HONOURS AND TROPHIES

Liverpool Football Club are the most successful English football team and also one of Europe's most decorated clubs. We have won 58 major club honours - 10 of which have arrived in the last 10 years.

LEAGUE CHAMPIONS18 times1900/01, 1905/06, 1921/22, 1922/23, 1946/47, 1963/64, 1965/66, 1972/73, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1985/86, 1987/88, 1989/90

EUROPEAN CHAMPIONS5 timesBritish record1976/77 3-1 vs. Borussia Mönchengladbach1977/78 1-0 vs. Club Brugge1980/81 1-0 vs. Real Madrid1983/84 1-1 (4-2 in penalty shootout) vs. AS Roma2004/05 3-3 (3-2 in penalty shootout) vs. AC Milan

UEFA CUP WINNERS3 timesBritish record1972/73, 1975/76, 2000/01

FA CUP WINNERS7 times1964/65, 1973/74, 1985/86, 1988/89, 1991/92, 2000/01, 2005/06

LEAGUE CUP WINNERS8 timesEnglish record1980/81, 1981/82, 1982/83, 1983/84, 1994/95, 2000/01, 2002/03, 2011/12EUROPEAN SUPER CUP WINNERS3 timesBritish record1977, 2001, 2005

CHARITY SHIELD WINNERS15 times1963/64+, 1964/65+, 1965/66, 1973/74, 1975/76, 1976/77+, 1978/79, 1979/80, 1981/82, 1985/86*, 1987/88, 1988/89, 1989/90, 2000/01, 2006/07

SUPER CUP WINNERS Once1985/86

Further trophies

Football League Second Division Champions-41893/94, 1895/96, 1904/05, 1961/62

Lancashire League Champions-11892-93FA

Youth Cup Winners-21995/96, 2005/06

Reserves Division One Winners-161956/57, 1968/69, 1969/70, 1970/71, 1972/73, 1973/74, 1974/75, 1975/76, 1976/77, 1978/79, 1980/81, 1981/82, 1983/84, 1984/85, 1989/90, 1999/2000-
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom