Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu, tunaweza tukasema LiverpoolFc, isharudi kwenye ubora wake, kwa kazi nzuri sana BR anayoifanya kwenye Team, ila nadhan umefika muda sasa John. W. Henry ampe support ya kutosha kwenye usajil unaokuja, kama alivyopewa Daglish kipind kile, na ningependa kuona AYRE anaachia ngazi, katucost sana kwenye usajili tangu aje BR, first it was Dempsey, akafanya uzembe jamaa akachukuliwa na Spurs dk za mwisho, then baadae tukashuhudia MK anaenda dortmund under our nose, hivyohivyo ikaja kwa willian na Salah ambao wote walienda ChelshiT, na juz tu tulishuhudia Saga ya Konoplyanka, tukashindwa kukamilisha deal kwa uzembe tu AYRE, ingekuwaje kama BR angewapata wachezaj wote hao???..tungekuwa mbali zaid ya Hapa..nadhan tunahitaj DM na left back mmoja mzuri na AM mmoja wa kutoa competition kwa kina Little phil, luis Alberto na Suso (naskia loan ikiisha kule Almeria, anarud next season). kwa mtazamo wangu nadhan kwa DM atatufaa sana yule Fernando Reges wa FC PORTO, kipind cha usajil january, scout za liverpool zlikuwa zikimfatilia sana, ni mzuri saaaana aisee, nadhan atatoa competition kubwa sana kwa Lucas, na ukiangalia umri wa Our fantastic captain unazid kusogea...Ila Kiukwel BR amefanya kazi kubwa sana, na inapendeza kuona fans wenzetu wa pale ENGLAND wanampa support ya kutosha kama tuvyanyavyo millions of fans across the world.


#RedOrDead ..#YNWA
 
Well said mkuu..YNWA.
 
Mkuu MosDef, nakubaliana na wewe kwenye suala la kazi nzuri ya BR, he makes us bealive...sisi kama wapenzi na washabiki tunaweza kumlaumu Ayre ila hatuelewi kwa undani kinachoendelea ndani ya club. Mfano ishu ya kono. Rais wa Dnip alisema kwamba uhamisho ulishindikana kutokana na ucheleweshwaji wa malipo. I doubt kama Ayre anahusika mojamoja kwenye ishu ya kuidhinisha faranga. As for Dempsey, I'm even happy kwamba hukusajiwa sababu hana lolote.Mikhi na Willian walitaka timu iliyoko ECL, hilo siyo kosa la Ayre. Salah inawezekana likawa ni kosa la Ayre lakini huyu mtoto wakiarabu ameonekana kuwa na tamaa zaidi ya pesa kuliko nafasi ya kucheza na kunufaika na kipaji chake.Umeuliza ingekuwaje kwa BR angepata wachezaji wote hao...wasiwasi wangu nikwamba tusingetambua kwamba kuna hazina kubwa kwa Sterling, Couthino and probably Henderson. Nakubaliana na wewe kwamba we're desperately in need of LB and DM
 
Thank u crystal palace for what u have done i will love u from today up to june/2014 cc Ntuzu
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umenena vyema kabisa kama director atafanyia kazi hilo next season tutakuwa moto wa kuotea mbali!!
 
Asenane asante pia kwa kunirahisishia job natangaza vita mechi zote 8 zilzobak lazima niondoke na point 3 every game!
 
Mechi iloyobaki ngumu kwetu ni game ya norwich city tu..zngne zote nyanya...
 
Asenane asante pia kwa kunirahisishia job natangaza vita mechi zote 8 zilzobak lazima niondoke na point 3 every game!

Zimebaki saba mkuu...tukimchapa kesho Spurs zinabaki sita tu!

I hope rafiki yangu Ntuzu amezipata salamu za Crystal Palace!
 
Last edited by a moderator:

Ntuzu...hiyo ndo Crystal Palace mkuu, subiri muziki wa Liverpool sasa utajuta!
 
Last edited by a moderator:
Ahsnte John terry na Flamini kwa kutuwekea nafasi nzuri ya kurudi juu tena.
Naamini game ya kesho tutacheza kama fainali ili kufikia lengo.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mkuu Osokonoi, Me kwa mtazamo wangu sidhani kama Willian na MK walikuwa wanahitaj UCL, ni uzembe tu wa Director wetu Ayre katika kuchangamkia deals fasta fasta, coz nnvyojua mimi sisi ndo tulianza kuwa na mazungumzo na Mchezaji, baada ya yeye mwenyewe kuonyesha interest ya Kuja Anfield, lakin Liver walikataa kutoa kiwango ambacho Anzh walikitata ambacho ni £30mill nadhan, ambapo Liverpool wakaamua kuvunja mazungumzo, then ndo hapa spurs wakaingia wakaOffer zaid, lakin kabla kusign pale spurs ikiwa na medical alikuwa ashafanya, nadhan tajiri wa Chelshit akatumia urafik wake na tajiri wa Anzh (wote warusi), na kuiblock ile move, chelshit wakaoffer zaid na mshahara mzur wakamchukua, Lakin dogo alikuwa anaitaka. Liverpool, the same kwa MK mpk kuna kipind alilipotiwa kuwepo UK wakt club yake ilikuwa ishaanza kwa league, lakin Ayre screwed it Up again, kama alvyofanya kwa Salah, Boss wa Dnipro asingeweza kusign agreement papers bila kuoneshwa hela, na ikitetegemea walikuwa hawatak kumtoa ile january, japokuwa dogo alikuwa more than desperate kuja liverpool, na alikuwa ashakubaliana personal terms na Liverpool, kilichomfanya Ayre ashindwe kuconclude ile deal ni kipi?????..This time itabid wawe active sana kwenye Usajili, Coz tuna NJAA ya Mafanikio saaaaaana.
 
Wakuu, KESHO mtu akilala pale ANFIELD tutaikita RedFlag kileleni pale..ndugu zetu Crystal Palace na Arsenal washatusaidia kwa kutupa ushirikiano mzuuuuuri...and Yeeees, ni kweli kwamba unahitaj Strikers hatar kama LUIS ALBERTO SUAREZ DIAZ na Mr. DANNY kuzfunga team ambazo znapigania kutokushuka daraja kipind hiki.
 
Mkuu Jaslaws, game za Norwich ndo ambazo Suarez huwa anafunga anavyotaka, huwa mara nyiing sana hakosi hat-trick au bao 4 kila akicheza na Norwich..wabaya wetu Stoke city na southampton tushamalzana nao, hao ndo nahis huwa wabaya wetu saaaaaana..Hawa ChelShit na Man Shitty na Kawaida yaan BIG CLUBS zinakutana na MASSIVE CLUB....Tushindwe sisi Tu.
 

Alafu zile gemu zinazoonekana zina utata zote tupo Anfield... tunachoombea Man City ateleze tena kidoogo kabla hajaja kwetu ili tukimchinja tu ndoo yetu.
 
Mkuu Gwamahala, Man shitty, bado hajaenda Kwa majiran zetu pale Goodson park, na bado katika fixture yake ana vigem vigum kidogo, maana bado hajamalizan na Southampton pia..tuombee tu adondoshe points zaid kabla hatujajukutana nae...away games tulizobakiza ni za West ham, crystal palace na Norwich City, hao Man shitty na ChelshiT wote wanaakuja sebuleni kwetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…