Brendan Rogers nachoomba asianze kuwa na Egos ni Manager mzuri ila kama ataweza kuwa na hii timu kwa next 2yrs kati kukawa na watu kama kina fernando Reges wa Porto ndio nitaongelea ubingwa ila sasa ni Top 4 mengine tuwaachie City sie hatuna Bench kama la City au Chelsea huo ndio ukweli na hakuna aliyesema Tutakuwa hapa ukitegemea hii ni timu ileile ya msimu uliopita.. Nahatujawahi huu msimu kuwa Top with angalau Point 9 ningesema kweli ubingwa kama walivyokuwa wapiga kelele wa kushika Bunduki wao walikuwa Top with point 9.