Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

liverpool_fc_by_josephlee.jpg
tumerudi Liverpool
 
wewe upo wapi unatazama recorded nini MKUU Mpira ushaanza kitambo now tushamchapa MTU goli 2 ww unaleta mambo ya dk 35

Hehehehhh mshaanzana wenyewe kwa wenyewe, mwanzo mzuri!

#MosKwito !
 
wewe upo wapi unatazama recorded nini MKUU Mpira ushaanza kitambo now tushamchapa MTU goli 2 ww unaleta mambo ya dk 35

Kahurumie mkuu kalikuwa kwenye viroba ndo kanakuja sasa hivi!
 
Last edited by a moderator:
......ahhhh, mkongwe LiverpoolFC...
Mambo yenu si mabaya wallah, mnaongoza ligi sasa....

Ubingwa mtauchukua au?!

#MosKwito !
 
Last edited by a moderator:
second half, suarez amuachie Gerrard apige Free kick kama zikitokea..Tumepoteza nafas nzuri sana katika Free kick..
 
......ahhhh, mkongwe LiverpoolFC...
Mambo yenu si mabaya wallah, mnaongoza ligi sasa....

Ubingwa mtauchukua au?!

#MosKwito !

Ninaweza kusema ni 75% kuchukua ubigwa na mechi ya Man City ndiyo msema kweli Mbu
Chelsea hawana sumu sana kwetu kwani wote wanakuja hapo ghetto!
 
Last edited by a moderator:
second half, suarez amuachie Gerrard apige Free kick kama zikitokea..Tumepoteza nafas nzuri sana katika Free kick..

Mkubwa nakwambia shaka ondoa hawa tunao mfukoni. Hawatoki hapa!
Ukumbuke round ya kwanza walikubali pale kwao 5-0
 
Haya sasa, Pazi anasema #Banitez ....hehhehh
YNWA!!!

#MosKwito !

Najuwa kama Kenny! Nimefanya kusudi sababu nakujua Mbu mzee wa Wenger ila Kenny alikuwa nje muda mwingi bila kufundisha timu kurudi kwake kaja Game ishabadilika ila kumbuka Kenny Daglish ka win as Manager vitu vingapi LiverpoolFc mengi tu.
 
Last edited by a moderator:
Kahurumie mkuu kalikuwa kwenye viroba ndo kanakuja sasa hivi!

Hahahahaha! Aisee nilitranslate masaa vibaya niliangalia juzi kwenye site ya barclays kick off ilisomeka 16:00 ngoja nijisogeze bana!
 
Brendan Rogers nachoomba asianze kuwa na Egos ni Manager mzuri ila kama ataweza kuwa na hii timu kwa next 2yrs kati kukawa na watu kama kina fernando Reges wa Porto ndio nitaongelea ubingwa ila sasa ni Top 4 mengine tuwaachie City sie hatuna Bench kama la City au Chelsea huo ndio ukweli na hakuna aliyesema Tutakuwa hapa ukitegemea hii ni timu ileile ya msimu uliopita.. Nahatujawahi huu msimu kuwa Top with angalau Point 9 ningesema kweli ubingwa kama walivyokuwa wapiga kelele wa kushika Bunduki wao walikuwa Top with point 9.
 
Hehehehhh mshaanzana wenyewe kwa wenyewe, mwanzo mzuri!

#MosKwito !

mwanzo upi tena MKUU.
tunamfahamisha tuuu yawezekana anaishi mpakani so mpira anatazama kwa niaba ya majirani ndio maana matangazo yanachelewa kumfikia
 
Back
Top Bottom