alikuwa Rafael Benitez alileta Champions League lipo pale Anfield moja kwa moja.
Ndomana nikakwambia leo mtakuja na Mada zengine heheh Kenny alichemsha vibaya mno ndomana nikakwambia alikuja muda Game EPL imebadilika alikuwa nje ya Game muda mwingi! Naangebaki Carrol ungeeona cross tu basi. Downing anakimbia mpaka kwenye kibendera.Aaah mkuu vip kuhusu King Keny jamaa aliyesajiri akina Carol, na wachezaji wa You Tube akina Downing akiamini kuwa anarejesha Gheto la waingereza pale Anfild.
seeing is beloving
Hater humu wanaanza kutafuta mada wengine za kuongea haijui kutoa pongezi za ushindi hata siku moja endeleeni kuchungulia mtapona kisukari.
Wrong sub!!!
Ana laana huyu BR! Keshaniharibia siku. Utamtoaje Coutinhooooooooooo??? Aaaaaarrrggghhhhhhhhhhh
Aaah! Ndo huwa inasemwa hivyo? Kweli uvccm ni vichwa tikiti maji!!
Vipi na hiyo ya Dj mtarajiwa nayo wrong? ?
Raheem alivyomuwekea Upaja Mousa Dembele angekuwa OZil macho yashamtoka welldone sterling.
tehtehtehtehtehtehteh mkuu tukupe pongezi wakati Kipute bado kinaendelea maliza kwanza mechi.