Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi ba hilo bandiko la guineas na Di mateo linahusianaje nidadavulieni kidogo
 
Kama Arsenal watabeba FA cup na Liver wakibeba PL itakuwa poa. COYScouse and COYG
 
Raheem alivyomuwekea Upaja Mousa Dembele angekuwa OZil macho yashamtoka welldone sterling.
 
Aaah mkuu vip kuhusu King Keny jamaa aliyesajiri akina Carol, na wachezaji wa You Tube akina Downing akiamini kuwa anarejesha Gheto la waingereza pale Anfild.
Ndomana nikakwambia leo mtakuja na Mada zengine heheh Kenny alichemsha vibaya mno ndomana nikakwambia alikuja muda Game EPL imebadilika alikuwa nje ya Game muda mwingi! Naangebaki Carrol ungeeona cross tu basi. Downing anakimbia mpaka kwenye kibendera.
Tuongelee GAME ya leo basi Juma Nature anasema 3 nini?
 
Wrong sub!!!
Ana laana huyu BR! Keshaniharibia siku. Utamtoaje Coutinhooooooooooo??? Aaaaaarrrggghhhhhhhhhhh
 
naona campain anatoka Lucas anaingia
hiii sabu daaaaa sijaipenda aiseee
 
Hater humu wanaanza kutafuta mada wengine za kuongea haijui kutoa pongezi za ushindi hata siku moja endeleeni kuchungulia mtapona kisukari.

tehtehtehtehtehtehteh mkuu tukupe pongezi wakati Kipute bado kinaendelea maliza kwanza mechi.
 
Back
Top Bottom