Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hapa umewavulia uvivu na kuwachana live mzee...hawa madogo wa 90's wanaboa sana. Hapa nakumbuka mechi nyingi za nyuma mi ndo nikiweka update hamna hata fan mmoja wa Liverfool akionekana, siku timu ikishinda ndo utawaona tena wachache sana wakijinadi. Kama vp vp wakaushie kwanza akili iwakae sawa mpaka wakibebe ndoo ndio ufanye update.
Hata #mods tutawaalert kwa hilo.

Watu wengine bana kwa hiyo ww hapa jamiiforum ndio panakufanya shabiki mkubwa wa liverpool..mahali ambapo hata sura yako hainokenai..zipo sehemu nyingi mashabiki wa liverpool wanaonyesha mapenzi na timu yao hata katika vipindi vigumu vilivyopita acha hizo ww..kwanza nazni huwajui vizuri mashabiki wa liverpool.. Hawa na mashabiki wenye mapenzi akubwa na team yao na huwa hawakati tamaa siku zote wapo nyuma ta team yao...mashabiki wa liverpool hamna mamluki labda wale watakaoanza kushabikia baada ya mafanikio ya msimu huu. Unewakosea sana mashabiki wa liverpool na inabidi uwaombe msamaha..hawa ni mashabiki tofauti na tean nyingine zote
 
seeing is believing furahi basi, hetaz kutoka nje ya mada mnaongoza

Dogo tuheshimiane basi! Mimi nimeanza kuishabikia LFC (YWNWA) kabla hata hujazaliwa! Tuseme na wewe kama ni shabiki wa Liverpool, umetukuta!
 
alikuwa Rafael Benitez alileta Champions League lipo pale Anfield moja kwa moja.

We nawe umezingua kabla ya Rogers alikuwepo king Danglish kabla ya Roy hogson na ndio Benitez kutoka kwa Gerald Hollier
 
Mkuu mi nipo na nyimbo zng zilezile!


Teh Teh Teh Teh


Yani siku nikitua infield lazima niwapige hao ynwa! Then nakaa juu mwenyewe kwasababu uwezo ninao Na nia ninayo!


Mkuu umeadimika nowadays! !! Umeona politics za mpira eeh? Kuifunga Arsenal sio ubingwa mzee. Rivals iliyo huko juu si mchezo, its a very big fight. Kwa makelele uliyokuwa nayo ni cema hili kombe tukishindwa kulichukua sisi **The Gunners** basi ni heri wachukue hawa watani zetu LFc au Man Shity kuliko nyie na Morinyo wenu mzee wa makelele.
I make full support to LIVERFOOL Mkuu.
Nasubiri tarehe 13/4 tukimpiga Wigan FA inafuta vumbi la kabati pale Emirates. Pole mkui wangu Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh where were u the Champion of JF!?
BTW congratulation for the wonderful header from John Terry.


I was here and I am here always dude!

JT katoboa chahazi ktk mkondo mkubwa Wa bahari!
 
I was here and I am here always dude!

JT katoboa chahazi ktk mkondo mkubwa Wa bahari!
Tehe teheee Hahaaaaa jahazi limetoboka kwenye mkondo wa Nungwi unategemea nn? JF bhana. Buruuuudaaaaani
 
teh teh teh where were u the Champion of JF!?
BTW congratulation for the wonderful header from John Terry.

Ushaona eeh? Huyu jamaa kikinuka anajifichaga..halafu anajifanya yupoyupo. Akina Mentor na Belo ndo hawajulikani walipo
 
Last edited by a moderator:
I was here and I am here always dude!

JT katoboa chahazi ktk mkondo mkubwa Wa bahari!

tena mkondo wenyewe hatari hata tukisema tutafute maiti ni hakika hatuwezi pata kinachofuata ni kujenga tu mnara wa kumbukumbu.
 
Tehe teheee Hahaaaaa jahazi limetoboka kwenye mkondo wa Nungwi unategemea nn? JF bhana. Buruuuudaaaaani


Umeona eeeeeeeh? Huu ndio mpira Mkuu na hii ndo jf! Yani always ni burudani!

Terry kanikumbusha final game ya UCL kule Moscow alipokosa penalty!
 
Ushaona eeh? Huyu jamaa kikinuka anajifichaga..halafu anajifanya yupoyupo. Akina Mentor na Belo ndo hawajulikani walipo

hatari saana huwa anapotea ye na wenzake halafu ukija kumuuliza anakwambia "me nipo siku zote"
teh teh teh JT bhana.
 
Last edited by a moderator:
Ushaona eeh? Huyu jamaa kikinuka anajifichaga..halafu anajifanya yupoyupo. Akina Mentor na Belo ndo hawajulikani walipo


Oya mi nipo tena ukipita ktk thread nyingi za mpira lazima unikute kasoro ya Jukwaa la man Utd ndo sipiti sn kule!
 
Last edited by a moderator:
Hi thread naona mashabiki wa liverpool wanaanza kusherekea kabla,ikiwageukia msizimie
 
hatari saana huwa anapotea ye na wenzake halafu ukija kumuuliza anakwambia "me nipo siku zote"
teh teh teh JT bhana.



Yani Mimi ni shabiki sugu! Ata km unanipiga za USO Au knockout mi nipo tu!
 
Hi thread naona mashabiki wa liverpool wanaanza kusherekea kabla,ikiwageukia msizimie


Tumekuja kuwaamsha na lazima watazima tu! Hasa Tarehe 27 mwezi ujao watazima vibaya!
 
....hehhehh, mnarudi ee?!
Karibu mkuu.


#MosKwito !

Mkuu Mbu,tunaomba uupandishie huu wimbo wetu hapo juu,usituchoke please! wewe ndo ulieanzisha uzi huu,tuwekee na hii picha yetu hapo pia,fanya kiroho safi tu,kwa mpangilio mzuri wenye kupendeza kwa post editing sio quotations hazivutii bro...! Tunakuomba tafadhali...!

When you walk through a storm
Hold your head up high
And don't be afraid of the dark
At the end of the storm
There's a golden star (sky)
And the sweet silver song of a lark

Walk on...
Through the rain...
Walk on...
Through the rain
Walk through the wind
And your dreams be tossed and blown...

Walk on... (walk on)
Walk on... (walk on)
With hope (with hope)
In your heart...
And you'll never walk alone
You'll never walk alone.
Alone...

Walk on... (walk on)
Walk on... (walk on)
With hope (with hope)
In your heart...
And you'll never walk alone
You'll never walk alone.
Alone...

You'll never...
You'll never walk alone...

Walk on... (walk on)
Walk on... (walk on)
With hope (with hope)
In your heart...
And you'll never walk alone
You'll never walk alone.
Alone...

You'll never walk...
You'll never walk alone...


10169404_10152440937057573_857996533_n.jpg



 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom