Mkuu Osokonoi, Me kwa mtazamo wangu sidhani kama Willian na MK walikuwa wanahitaj UCL, ni uzembe tu wa Director wetu Ayre katika kuchangamkia deals fasta fasta, coz nnvyojua mimi sisi ndo tulianza kuwa na mazungumzo na Mchezaji, baada ya yeye mwenyewe kuonyesha interest ya Kuja Anfield, lakin Liver walikataa kutoa kiwango ambacho Anzh walikitata ambacho ni £30mill nadhan, ambapo Liverpool wakaamua kuvunja mazungumzo, then ndo hapa spurs wakaingia wakaOffer zaid, lakin kabla kusign pale spurs ikiwa na medical alikuwa ashafanya, nadhan tajiri wa Chelshit akatumia urafik wake na tajiri wa Anzh (wote warusi), na kuiblock ile move, chelshit wakaoffer zaid na mshahara mzur wakamchukua, Lakin dogo alikuwa anaitaka. Liverpool, the same kwa MK mpk kuna kipind alilipotiwa kuwepo UK wakt club yake ilikuwa ishaanza kwa league, lakin Ayre screwed it Up again, kama alvyofanya kwa Salah, Boss wa Dnipro asingeweza kusign agreement papers bila kuoneshwa hela, na ikitetegemea walikuwa hawatak kumtoa ile january, japokuwa dogo alikuwa more than desperate kuja liverpool, na alikuwa ashakubaliana personal terms na Liverpool, kilichomfanya Ayre ashindwe kuconclude ile deal ni kipi?????..This time itabid wawe active sana kwenye Usajili, Coz tuna NJAA ya Mafanikio saaaaaana.