Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watu wengine bana kwa hiyo ww hapa jamiiforum ndio panakufanya shabiki mkubwa wa liverpool..mahali ambapo hata sura yako hainokenai..zipo sehemu nyingi mashabiki wa liverpool wanaonyesha mapenzi na timu yao hata katika vipindi vigumu vilivyopita acha hizo ww..kwanza nazni huwajui vizuri mashabiki wa liverpool.. Hawa na mashabiki wenye mapenzi akubwa na team yao na huwa hawakati tamaa siku zote wapo nyuma ta team yao...mashabiki wa liverpool hamna mamluki labda wale watakaoanza kushabikia baada ya mafanikio ya msimu huu. Unewakosea sana mashabiki wa liverpool na inabidi uwaombe msamaha..hawa ni mashabiki tofauti na tean nyingine zote
 
seeing is believing furahi basi, hetaz kutoka nje ya mada mnaongoza

Dogo tuheshimiane basi! Mimi nimeanza kuishabikia LFC (YWNWA) kabla hata hujazaliwa! Tuseme na wewe kama ni shabiki wa Liverpool, umetukuta!
 
alikuwa Rafael Benitez alileta Champions League lipo pale Anfield moja kwa moja.

We nawe umezingua kabla ya Rogers alikuwepo king Danglish kabla ya Roy hogson na ndio Benitez kutoka kwa Gerald Hollier
 
Mkuu mi nipo na nyimbo zng zilezile!

Teh Teh Teh Teh

Yani siku nikitua infield lazima niwapige hao ynwa! Then nakaa juu mwenyewe kwasababu uwezo ninao Na nia ninayo!

Last edited by a moderator:
teh teh teh where were u the Champion of JF!?
BTW congratulation for the wonderful header from John Terry.

I was here and I am here always dude!

JT katoboa chahazi ktk mkondo mkubwa Wa bahari!
 
I was here and I am here always dude!

JT katoboa chahazi ktk mkondo mkubwa Wa bahari!
Tehe teheee Hahaaaaa jahazi limetoboka kwenye mkondo wa Nungwi unategemea nn? JF bhana. Buruuuudaaaaani
 
teh teh teh where were u the Champion of JF!?
BTW congratulation for the wonderful header from John Terry.

Ushaona eeh? Huyu jamaa kikinuka anajifichaga..halafu anajifanya yupoyupo. Akina Mentor na Belo ndo hawajulikani walipo
 
Last edited by a moderator:
I was here and I am here always dude!

JT katoboa chahazi ktk mkondo mkubwa Wa bahari!

tena mkondo wenyewe hatari hata tukisema tutafute maiti ni hakika hatuwezi pata kinachofuata ni kujenga tu mnara wa kumbukumbu.
 
Tehe teheee Hahaaaaa jahazi limetoboka kwenye mkondo wa Nungwi unategemea nn? JF bhana. Buruuuudaaaaani

Umeona eeeeeeeh? Huu ndio mpira Mkuu na hii ndo jf! Yani always ni burudani!

Terry kanikumbusha final game ya UCL kule Moscow alipokosa penalty!
 
Ushaona eeh? Huyu jamaa kikinuka anajifichaga..halafu anajifanya yupoyupo. Akina Mentor na Belo ndo hawajulikani walipo

hatari saana huwa anapotea ye na wenzake halafu ukija kumuuliza anakwambia "me nipo siku zote"
teh teh teh JT bhana.
 
Last edited by a moderator:
Ushaona eeh? Huyu jamaa kikinuka anajifichaga..halafu anajifanya yupoyupo. Akina Mentor na Belo ndo hawajulikani walipo

Oya mi nipo tena ukipita ktk thread nyingi za mpira lazima unikute kasoro ya Jukwaa la man Utd ndo sipiti sn kule!
 
Last edited by a moderator:
Hi thread naona mashabiki wa liverpool wanaanza kusherekea kabla,ikiwageukia msizimie
 
hatari saana huwa anapotea ye na wenzake halafu ukija kumuuliza anakwambia "me nipo siku zote"
teh teh teh JT bhana.

Yani Mimi ni shabiki sugu! Ata km unanipiga za USO Au knockout mi nipo tu!
 
Hi thread naona mashabiki wa liverpool wanaanza kusherekea kabla,ikiwageukia msizimie

Tumekuja kuwaamsha na lazima watazima tu! Hasa Tarehe 27 mwezi ujao watazima vibaya!
 
....hehhehh, mnarudi ee?!
Karibu mkuu.

#MosKwito !

Mkuu Mbu,tunaomba uupandishie huu wimbo wetu hapo juu,usituchoke please! wewe ndo ulieanzisha uzi huu,tuwekee na hii picha yetu hapo pia,fanya kiroho safi tu,kwa mpangilio mzuri wenye kupendeza kwa post editing sio quotations hazivutii bro...! Tunakuomba tafadhali...!

Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…