Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

. Wachana nao usibishane nao waache waandike wao Yao hawayaoni wala wengine hawakumbuki waliyokuwa wakibebwa unafiki tu umewajaa siku zote nasema wao hongera hawajui kuja kutoa wao wanasubiri mengine Kama Belo alivyosema ukipata nafasi Kama Hiyo tumia kwani aliyaona zamani yake Kama ya hapa ila Mie napenda mkiongelea muongelee upande wote miwili sio LFc tu wewe usiogope mtu Sema tu hongereni Kama mnataka kulaumu kamlaumu Refa.
 
Ubingwa wa kutegemea penati za kujidondosha upo shakani. Msemakweli ni City watakapotinga Anfield. Pool watazoa peneti ngapi?

Kwa sababu wameshinda umeshaanza ila goli ni goli hata lile la westham ni goli pia au hutaki??
 

Kwanza hakukuwepo na penalty hata moja ya kubebwa leo,

Na pia kama nafasi ipo tunaitumia tu, ndo mpira ulivyo...
 
Ubingwa wa kutegemea penati za kujidondosha upo shakani. Msemakweli ni City watakapotinga Anfield. Pool watazoa peneti ngapi?

Mkuu, one game at a time. Leo wacha watu wafurahie this win though was ugly. However, a win is a win
 

nilivyosema ushindi lazima ulizani natania ee,
 
tukimchapa man city au kutoka naye draw then Chelsea afungwe game 1 tuu harufu ya ubingwa itakuwa inanukia anfild
 
usiumize kchwa na haterz..tushasema ubingwa kwetu ni bonus track

ila MKUU nao unaraha yake hata kukaa kilekeni ukiongoza ligi nako kuna raha yake bana .
kunawengine waliongoza mwanzo ss hv wamepoteana mbaya wanagombea nafasi ya 4 nayo wanaweza wakaikosa wakifanya mchezo.

msimu huu kuna big 4 zamwaka Jana zimetandikwa magoli sio mchezo mpaka raha.
 
Refa kazuruga game ya leo,ila kikubwa tumeshinda na kupata point tatu.Sasa tuangalie game ijayo dhidi ya Man City.

"Nkikuwepo":bolt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…