. Wachana nao usibishane nao waache waandike wao Yao hawayaoni wala wengine hawakumbuki waliyokuwa wakibebwa unafiki tu umewajaa siku zote nasema wao hongera hawajui kuja kutoa wao wanasubiri mengine Kama Belo alivyosema ukipata nafasi Kama Hiyo tumia kwani aliyaona zamani yake Kama ya hapa ila Mie napenda mkiongelea muongelee upande wote miwili sio LFc tu wewe usiogope mtu Sema tu hongereni Kama mnataka kulaumu kamlaumu Refa.our top scorer suarez ana magol 28, na hakuna hata moja la penalty, Danny ana magol 20 na hana hata penalty..na magol yao ndo yanatuweka hapo tulipo..BTW penalty za leo zote zilikuwa fair mkuu, au tuliangalia game tofaut???
hakuna penalty ya kupewa hata moja.

