Khe Khe Khe Khe
Ile iliyozifunga timu kubwa zote mnaiona ya kawaida!
Khe Khe Khe Khe
Katika timu ya City,Man Utd,Arsnal, na Liverpool, ni nani aliefunga Chelsea msimu huu Wa EPL? Iwe ugenini Au nyumbani?
Khe Khe Khe Khe!
Mnachekesha nyie!
Ngoja uje Anfield ndo utajua...saivi jiandae kuchakazwa na PSG kesho.
Ngoja uje Anfield ndo utajua...saivi jiandae kuchakazwa na PSG kesho.
MKUU mm namuombea kesho ashinde ili afuzu coz akitolewa mapema atakuwa hana cha kutolea macho zaidi ya EPL.
akishugulika na UEFA ss huku tukomae na kukimbizana na man city wakati huo Chelsea anashika ma2 hakika 1 lzm limponyoke au yote kabisa.
all in all ushindi zidi ya man city na kwagem 5 zilizobakia ni mhim sana.
Khe Khe Khe Khe
Ile iliyozifunga timu kubwa zote mnaiona ya kawaida!
Khe Khe Khe Khe
Katika timu ya City,Man Utd,Arsnal, na Liverpool, ni nani aliefunga Chelsea msimu huu Wa EPL? Iwe ugenini Au nyumbani?
Khe Khe Khe Khe!
Mnachekesha nyie!
Khe Khe Khe Khe
Mnaweza pata Ushindi kwa city Au droo Lkn kwa Chelsea hiyo msahau kabisa!
Dah!! Aisee..blood pressure, heart attacks..roho yangu mie..jana, nilidhani ile mechi itakuwa draw kabisa..lakini we prevailed.
Next week pale Anfield zidi ya Man City itakuwa vita..ndo the most important game for over the last 20 years..yaani si imagine itakuaje..ile cup final, more than a cup final..more than a game.
BRING THEM ON!!!!!!
MANCITY cant be a threat to Liverpool, hata game lililochezwa kule kwao walibebwa sana na refalii ila imebakia kidogo wachezee kichapo,
najua wewe ni mwantesa united, una kiroho papo, ni wapi jana vijogoo wamebebwa? Kigogo una matattizo, wee rudi tu kule jukwaa la siasa tukapambane na vijana wa Lumumba, huku utapa presha bureKama mlivobebwa jana na mipenati isiyo na maana..subirini weekend ndo mtaongea vizuri....andaeni leso za kujifutia magundi mtakayopakazwa
MKUU mm namuombea kesho ashinde ili afuzu coz akitolewa mapema atakuwa hana cha kutolea macho zaidi ya EPL.
akishugulika na UEFA ss huku tukomae na kukimbizana na man city wakati huo Chelsea anashika ma2 hakika 1 lzm limponyoke au yote kabisa.
all in all ushindi zidi ya man city na kwagem 5 zilizobakia ni mhim sana.
MANCITY cant be a threat to Liverpool, hata game lililochezwa kule kwao walibebwa sana na refalii ila imebakia kidogo wachezee kichapo,
liverpool tunataka kushinda game ili tuwe mabingwa hatuombei nani amfunge nani, sasa unazani chelsea akimfunga liver ndo atachukua kombe?
liverpool tunataka kushinda game ili tuwe mabingwa hatuombei nani amfunge nani, sasa unazani chelsea akimfunga liver ndo atachukua kombe?
analysis mbovu kabisa hii,kwa nini LIVERPOOL FC mnapewa penati nyingi sana? nauliza..
msimu huu peke yake mmepata penati 12.
Kama mlivobebwa jana na mipenati isiyo na maana..subirini weekend ndo mtaongea vizuri....andaeni leso za kujifutia magundi mtakayopakazwa
pelnat nyingi ni dalili ya mashambulizi makali, teh teh teh teh
statistic ya msimu huu
Liverpool 12
Manchester City 7
Chelsea 7
Crystal Palace 5
Stoke City 4
Aston Villa 4