Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Khe Khe Khe Khe

Ile iliyozifunga timu kubwa zote mnaiona ya kawaida!

Khe Khe Khe Khe

Katika timu ya City,Man Utd,Arsnal, na Liverpool, ni nani aliefunga Chelsea msimu huu Wa EPL? Iwe ugenini Au nyumbani?

Khe Khe Khe Khe!

Mnachekesha nyie!

Ngoja uje Anfield ndo utajua...saivi jiandae kuchakazwa na PSG kesho.
 
KTBFFH

IN CHELSEA WE TRUST

IN JOSE MOURINHO WE TRUST

MTAKAA KIMYA KESHO NA KUJA NA HONGERA KIBAO KTK THREAD YETU KULE AU HUMU KWENU!
 
Ngoja uje Anfield ndo utajua...saivi jiandae kuchakazwa na PSG kesho.

MKUU mm namuombea kesho ashinde ili afuzu coz akitolewa mapema atakuwa hana cha kutolea macho zaidi ya EPL.

akishugulika na UEFA ss huku tukomae na kukimbizana na man city wakati huo Chelsea anashika ma2 hakika 1 lzm limponyoke au yote kabisa.

all in all ushindi zidi ya man city na kwagem 5 zilizobakia ni mhim sana.
 
Mipango hewa!
 
Kwetu sisi kila mechi tutakayo cheza ni fainal!!!
Haya west ham tumewa chapa 2-1!!!!
Nani anafuatia????
 
Khe Khe Khe Khe

Ile iliyozifunga timu kubwa zote mnaiona ya kawaida!

Khe Khe Khe Khe

Katika timu ya City,Man Utd,Arsnal, na Liverpool, ni nani aliefunga Chelsea msimu huu Wa EPL? Iwe ugenini Au nyumbani?

Khe Khe Khe Khe!

Mnachekesha nyie!

Subiri tarehe 27 ndo utawajua the reds wa anfield ni nani?
 
Khe Khe Khe Khe

Mnaweza pata Ushindi kwa city Au droo Lkn kwa Chelsea hiyo msahau kabisa!

liverpool tunataka kushinda game ili tuwe mabingwa hatuombei nani amfunge nani, sasa unazani chelsea akimfunga liver ndo atachukua kombe?
 
Dah!! Aisee..blood pressure, heart attacks..roho yangu mie..jana, nilidhani ile mechi itakuwa draw kabisa..lakini we prevailed.

Next week pale Anfield zidi ya Man City itakuwa vita..ndo the most important game for over the last 20 years..yaani si imagine itakuaje..ile cup final, more than a cup final..more than a game.

BRING THEM ON!!!!!!

MANCITY cant be a threat to Liverpool, hata game lililochezwa kule kwao walibebwa sana na refalii ila imebakia kidogo wachezee kichapo,
 
Kama mlivobebwa jana na mipenati isiyo na maana..subirini weekend ndo mtaongea vizuri....andaeni leso za kujifutia magundi mtakayopakazwa
 
najua wewe ni mwantesa united, una kiroho papo, ni wapi jana vijogoo wamebebwa? Kigogo una matattizo, wee rudi tu kule jukwaa la siasa tukapambane na vijana wa Lumumba, huku utapa presha bure
 
Last edited by a moderator:
MKUU mm namuombea kesho ashinde ili afuzu coz akitolewa mapema atakuwa hana cha kutolea macho zaidi ya EPL.

akishugulika na UEFA ss huku tukomae na kukimbizana na man city wakati huo Chelsea anashika ma2 hakika 1 lzm limponyoke au yote kabisa.

all in all ushindi zidi ya man city na kwagem 5 zilizobakia ni mhim sana.

Yeah..Itabid Michelshit ipite UCL kule, manake ikitolewa itakuja kutuletea tabu EPL huku...
 
MANCITY cant be a threat to Liverpool, hata game lililochezwa kule kwao walibebwa sana na refalii ila imebakia kidogo wachezee kichapo,

kwa nini LIVERPOOL FC mnapewa penati nyingi sana? nauliza..
msimu huu peke yake mmepata penati 12.

ukitaka kuwa bingwa wafunge mabingwa...

tumewafunga CITY nje ndani.
tumewafunga ARSENAL
tumewafunga MAN UTD
tuliwafunga LIVERPOOL ; subirini tunakuja tarehe 27.:nod:
liverpool tunataka kushinda game ili tuwe mabingwa hatuombei nani amfunge nani, sasa unazani chelsea akimfunga liver ndo atachukua kombe?
 
liverpool tunataka kushinda game ili tuwe mabingwa hatuombei nani amfunge nani, sasa unazani chelsea akimfunga liver ndo atachukua kombe?

Mwambie huyo..Manake anajifanya haelewi..
 
kwa nini LIVERPOOL FC mnapewa penati nyingi sana? nauliza..
msimu huu peke yake mmepata penati 12.

analysis mbovu kabisa hii,
hao wanaoongoza kwa magoli hapo wamepiga pelnat?

1 Luis Suarez Liverpool 29
2 Daniel Sturridge Liverpool 20
3 Yaya Touré Man City 18
4 Jay Rodriguez Southampton 15
4 Sergio Agüero Man City 15
 
Arsenal have been awarded more penalties than any other Premier League club in 3 of the last 8 seasons. City have been awarded more in 2 out of 8 seasons. United and Chelsea have been awarded more in 1 of the 8 seasons.

- Arsenal and City have conceded more penalties than any other Premier League club in 1 of the last 8 seasons.

- Arsenal have had the most penalties awarded for and against them in the last 8 seasons.

- Chelsea have had the fewest penalties awarded against them in the last 8 seasons.

- Over 8 seasons, there is a difference of 11 penalties awarded for between Arsenal and United, or 1.4 a season. There is a difference of 17 penalties awarded against between Arsenal and Chelsea, or 2.1 a season. Essentially, the difference is negligible so any argument suggesting the refs give preferential treatment to one club is pretty soft.
 
pelnat nyingi ni dalili ya mashambulizi makali, teh teh teh teh
statistic ya msimu huu

Liverpool 12
Manchester City 7
Chelsea 7
Crystal Palace 5
Stoke City 4
Aston Villa 4
 
Kama mlivobebwa jana na mipenati isiyo na maana..subirini weekend ndo mtaongea vizuri....andaeni leso za kujifutia magundi mtakayopakazwa
article-0-1CE2C73F00000578-56_634x558.jpg

article-0-1CE2C90600000578-284_634x435.jpg
 
pelnat nyingi ni dalili ya mashambulizi makali, teh teh teh teh
statistic ya msimu huu

Liverpool 12
Manchester City 7
Chelsea 7
Crystal Palace 5
Stoke City 4
Aston Villa 4

nakushukuru kwa kukubali ukweli..mmepewa penati nyingi msimu huu.
hongereni kwa kupewa penati nyingi msimu huu...:nod:
 
Back
Top Bottom