Tatizo la Rafa ni kuingiza wachezaji kwenye mabifu yake!!! last season Alonso ali-lead team wakati Gerrard anasusa, this time hakuna leader!!!
Nevertheless, in a week or two haya mambo yataisha, either watafukuza Rafa au itabidi apinde na kuwa chini ya klabu
Sijaona strikers wakicheza bila motivation kama Torres na Babbel jana... torres spent more time on the ground kuliko sehemu yoyote
YNWA
kujitetea tu mazee,bwawa la maini mnategemea Gerald na Torres nao viwango vimeshuka tayari,hutaki kuamini?mwaka huu hata kumi bora wazee wa maini hampo yakhe!subiri j,si uone mechi!!
longo longo zoooote hilo ndilo jibu haswaaaaa kwenye soka la sasa hivi.....Yep bro, mpira sasa umeingiliwa na wajasiriamali wasiojali nini kinatendeka uwanjani wao wanaangalia Balance Sheets zao tu.
Hali si shwari mjomba.... kila move naona hamna creativity, na jamaa wamepaki icarus golini
mi nishasema, liver fool lazima watafulia tu hawa.
haiwezekani mtu anakuja nyumbani kwako anashusha sufuria ya ugali jikoni na wewe baba mwenye familia upo.
mwaka wa cheseeeeeeeee!
Hakua mwaka wa chesssssssss,karata wala shetani wa njano hapa,...
ni mwaka wa bunduki tu "Gunners Forever "
aquilani ni mchezaji mzuri sema mpaka apone sijui kama ataikuta liverpool iko salama bado.alonso alichofanya ni pay back ya kuvunjiwa heshima na kocha wake last season.benitez anatakiwa ajifunze kuwork na budget anayopewa mbona wenger hatumii hela nyingi na ana survive vizuri tu?Yep bro, mpira sasa umeingiliwa na wajasiriamali wasiojali nini kinatendeka uwanjani wao wanaangalia Balance Sheets zao tu. Lakini kwa upande mwingine Benitez kweli ni mmojawapo wa makocha wenye pupa kinyama. Nakumbuka mwaka jana kabla ya msimu wa 2007/2008 alimwambia Alonso kuwa atafute timu nadhani Arsenal walionesha interest lakini nadhani bei iliwashinda. Alonso akabana na kupigania namba na perfomance yake nadhani kila mtu aliiona. Na yeye msimu huu ameamua kujiondokea zake na sasa midfield naona imekuwa kubwa mno kwa upande wa Liverpool! Amemnunua huyu Aquilani ambaye ni mgonjwa na kwa staili ya mpira wa Liverpool itachukua muda sana ku-adopt. Natumai Fergie anakenua tu sasa ivi maana alishatabiri maafa huko Merseyside..he he he..
Pole MTN Benitez atajuta sana kwa nini last season hamkuchukua ubingwa
aquilani ni mchezaji mzuri sema mpaka apone sijui kama ataikuta liverpool iko salama bado.alonso alichofanya ni pay back ya kuvunjiwa heshima na kocha wake last season.benitez anatakiwa ajifunze kuwork na budget anayopewa mbona wenger hatumii hela nyingi na ana survive vizuri tu?

Aquilani is recovering from surgery he had on his right ankle in May and his tenure at Roma has been blighted by injury problems. He has played only 73 games in three seasons for Roma and his last appearance came as a substitute on March 11, against Arsenal in the Champions League.
aquilani ni mchezaji mzuri sema mpaka apone sijui kama ataikuta liverpool iko salama bado.alonso alichofanya ni pay back ya kuvunjiwa heshima na kocha wake last season.benitez anatakiwa ajifunze kuwork na budget anayopewa mbona wenger hatumii hela nyingi na ana survive vizuri tu?
Arsenal is a moving corpse, Abdulhalim kwani hujui? waulize mara ya mwisho kuchukua kombe ili century ipi?
Arsenal is a moving corpse, Abdulhalim kwani hujui? waulize mara ya mwisho kuchukua kombe ili century ipi?