Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jana Chelshit, pamoja na swansea kupata RedCard ya Mapema, walipata taaaaaaabu sana kushinda..

Afu still wanapga Mahesabu ya kuja kushinda ANFIELD.

Mawazo ya Plastic fans, yanakuwaga Mgando sana...

Let us focus first on Norwich City... one game at a time!
 
Let us focus first on Norwich City... one game at a time!

Hiyo Game ya Norwich City sina wasiwasi nayo kabisa aisee..Suarez atafanya kile ambacho huwa anafanya kila tukicheza na Norwich...

Trust Me!!!..
 
mechi zidi ya Chelsea itakuwa tam sana coz anakuwa katoka kucheza na atretico Madrid uefa ambayo ni game ya mhim sana wake sasa aombee asipate majeruhi hata 1.akipata majeruhi itakuwa poa sana maana itaturahisishia KAZI.
najua kwenye uefa lazima apange full mkoko.

ndio maana nilikuwa namuombea afuzu kwenye uefa na kama tutafungwa game hii basi tutakuwa tumeutema ubingwa rasmi.
ila kama Jana angetoka suruhu Chelsea basi ingekuwa powa sana.

ni mechi chache zimebakia ila ningum sana kuanza kuuzungumzia ubingwa now nikutokana na kumwombea mpinzani wetu Chelsea avurunde kwakufungwa japo game 1 tuuu au hata kwa kutoa suruhu.
mechi yakuamua nani bingwa msim huu ni kati yetu na Chelsea.
 



Wewe kweli mbhado! Game yetu na nyie imeshaanza Bado tu kuja tukamilishe kuchukua points 3 zetu!

Mpira wenyewe km Wa Jana lazima mpotee!
 
Jana Chelshit, pamoja na swansea kupata RedCard ya Mapema, walipata taaaaaaabu sana kushinda..

Afu still wanapga Mahesabu ya kuja kushinda ANFIELD.

Mawazo ya Plastic fans, yanakuwaga Mgando sana...


Goli atakua Cech

Beki kulia ni Ivanovic na Kati ni Terry na Cahill Na Beki kushoto ni C. Azp

Wakata Umeme ni Matic na Luiz

Attackers Willian, Ramires na Hazard

Striker ni babu Eto'o


Subs:

Kipa km kawa.

Beki ni Cole


Wakata Umeme, Lampard na Obi.

Attackers, Schullre, M.Salah na Oscar

Striker, Ba na Torres.

Kazi unayo! Hutoki hapo!
 

hicho kikosi si ndo kile kile kilichocheza na Crystal palace!!!!???

Gwamahala, alinambia itabid tufocus kwenye game yetu Dhidi ya Norwich City weekEnd hii...then baada ya Hapo ndo tuanze kufocus kuhusu game ya Chelshit...

Asante kwa kutembelea uzi wetu lakin!!!!!!!!!

Una bidii saaaana!!!!!!!!!
 


Teh Teh Teh Teh

Mmeanza kukwepa hoja?

Km hamtaki tutembelee Uzi wenu basi msiitaje timu yetu Ktk hoja zenu! Maana mkiitaja tu Chelsea Ktk mipango yenu mibovu lazima tujibu hoja!

Nani kidume Wa top five msimu huu km sio Chelsea tu?
 
Teh Teh Teh Teh

Mmeanza kukwepa hoja?

Km hamtaki tutembelee Uzi wenu basi msiitaje timu yetu Ktk hoja zenu! Maana mkiitaja tu Chelsea Ktk mipango yenu mibovu lazima tujibu hoja!

Nani kidume Wa top five msimu huu km sio Chelsea tu?

KIDUME ni yule anaeziongoza team zote 19 kwenye league..
 

Haha eti hazard kwel poyoyo huyu
 
Game inayofuata ni Norwich muhimu 3points nimetizama kwa ukaribu Kama tunawatengenezea Chelsea? Game ambazo naziogopa ni Chelsea na C Palace Kama tukimpiga Chelsea Nguvu ya kwa C Palace lazima tukaze Handerson Red Card pengo kubwa tofauti ya Hendo Anazunguka sana Lucas yeye anakaa sana nyuma na kugawa Freekick nje ya Box game na. Chelsea ndio itajulisha Ubingwa wapi sasa hivi LFC turizike CL tunacheza , Presha ni kubwa LFC hatuna Bench SG akipata yellow hachezi game mbili kazi ipo ila timu naiamini.
 
Teh Teh Teh

Nafuu Wewe Unasema ukweli!

 

Me nadhani ungeihofia zaidi Man city kuliko Chelshit, coz man city wana 2 games in hand...

Na tunachoombea ni Man city kudrop 3pts tu katka game zake zte zilizobak, si tukishinda against Norwich na Chelshit, tutabeba kombe kwenye game yetu na Crystal palace...so kwa vyovyote vile lazma Chelshit afe pale ANFIELD..

Afu, tukija kwenye UKWELI ni kwamba LIVERPOOL FC wanagombea UBINGWA now na Siyo TOP4, ingawa malengo yalikuwa ni Top4..lakin kwa sasa tumeshapita huko...tupo mbali saaana.

Gerrard Amefanikiwa kuzifuta kadi zake zote zile 9 za njano, coz kadi yake ya 9 aliipata kwenye ile game dhidi ya Fulham nadhani, so kwa sheria zao za FA hakutakiwa kupata kadi yoyote ya Njano ya 10 mpaka kwenye second week of April, ambapo ilikuwa kwenye game Man city, ili zile kadi nyingne zifutwe, Na hakupata yellow yoyote kwenye ile game, so kazifuta zote.. manake kama angepata ya 10 angekosa game mbili..lakin alifanikiwa kuepuka kadi yoyote ile mpk kwenye game ya Jana..

Big Loss ni Henderson, japo naamini, lucas, Allen watacover vizuri..

Na watu kama kina Joao texeira, Aspas, moses na Luis Alberto wanaweza wakapata Shout..

Na pia huyu dogo Luis Alberto ni FUTURE ya Liverpool Aisee..dogo anajua sana..
 
hahahahah

REAL MADRID washaanza choko choko kwa COUTINHO....

HAUZWII HUYOOO!!!!!!!!!!
 
Yaani kabla hata Injury updates kuhusu Sturridge hazijatoka, Watu washaanza kutengeneza stories zao, Waingereza bhana...

Me nahis 'tight hamstring" syo serious sana kihvyo, sidhan kama inazidi hata 2 weeks kuwa nje ya uwanja..

lakin kuna watu washaanza kusema atakosa mpaka WC kule Brazil...

Tusubirie official statement ya Club..

Lets hope Ts not that BIG..!!
 

Liverpool ana kila sababu ya kuchukua ubingwa....sasa hivi ubingwa uko mikononi mwake,akishinda game zake ubingwa wake hategemei matokeo yao 'its in liverpool's hands'
Liverpool wameonyesha consistence ambayo hamna timu ya top four yoyote imeonyesha,winning 10 games in a row is championship form,as a man utd fan i know it very well,this is called business end of the season and Liverpool is showing tremendous form.
There is solidarity among players,it was evident at the end of the game against city,Gerrard deserve a premier league title....all the best Liverpool u deserve this title please DONT BLOW IT we are sick of Mourinho rants!!!!
 
if not us,i would like city to win the title! Wanacheza soka la kueleweka(not grinding out results),manager wao yupo polite na ana heshima,they have the best squad in the league! For sure,if not us,i would really like them to win it.
 
Hiyo Game ya Norwich City sina wasiwasi nayo kabisa aisee..Suarez atafanya kile ambacho huwa anafanya kila tukicheza na Norwich...

Trust Me!!!..

Kusema kweli jana Liver wamenikosha sana, waliipendezesha weekend yangu. Ila tu inatakiwa Starridge aelimishwe kuacha ubinafsi. Katukosesha magoli sababu hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…