Me nadhani ungeihofia zaidi Man city kuliko Chelshit, coz man city wana 2 games in hand...
Na tunachoombea ni Man city kudrop 3pts tu katka game zake zte zilizobak, si tukishinda against Norwich na Chelshit, tutabeba kombe kwenye game yetu na Crystal palace...so kwa vyovyote vile lazma Chelshit afe pale ANFIELD..
Afu, tukija kwenye UKWELI ni kwamba LIVERPOOL FC wanagombea UBINGWA now na Siyo TOP4, ingawa malengo yalikuwa ni Top4..lakin kwa sasa tumeshapita huko...tupo mbali saaana.
Gerrard Amefanikiwa kuzifuta kadi zake zote zile 9 za njano, coz kadi yake ya 9 aliipata kwenye ile game dhidi ya Fulham nadhani, so kwa sheria zao za FA hakutakiwa kupata kadi yoyote ya Njano ya 10 mpaka kwenye second week of April, ambapo ilikuwa kwenye game Man city, ili zile kadi nyingne zifutwe, Na hakupata yellow yoyote kwenye ile game, so kazifuta zote.. manake kama angepata ya 10 angekosa game mbili..lakin alifanikiwa kuepuka kadi yoyote ile mpk kwenye game ya Jana..
Big Loss ni Henderson, japo naamini, lucas, Allen watacover vizuri..
Na watu kama kina Joao texeira, Aspas, moses na Luis Alberto wanaweza wakapata Shout..
Na pia huyu dogo Luis Alberto ni FUTURE ya Liverpool Aisee..dogo anajua sana..