Mkiacha kuitaja Chelsea Ktk mijadala yenu na Mimi ntaacha kuja kwenu!
Btw ninakuja humu kwasababu Nina biashara na Wewe tarehe 27.
Kz ya kumdrop city imeanza kufanywa na Arsenal na nyie Jana Bado Everton atakamilisha Hiyo kz coz lazima Everton amfunge man city Ktk game yake ili acheze UCL next season!
Kwahiyo niko Na nyie tu ata mfanyeje!
Mkuu achana kubishana na plastic fans wa Chelshit.hahahah
Mpira ungekuwa mwepesi namna hiyo basi hata Cardiff city wangeweza kuchukua UBINGWA..
Ba ndo goal lake la sita sjui lile, tangu umemsajil..kwahyo kisa kakuokoa na Swansea, ndo unafikir atakufanyia maajabu pale ANFIELD..????
vitoto vya Maureen mna matatizo kweliMkiacha kuitaja Chelsea Ktk mijadala yenu na Mimi ntaacha kuja kwenu!
Btw ninakuja humu kwasababu Nina biashara na Wewe tarehe 27.
Kz ya kumdrop city imeanza kufanywa na Arsenal na nyie Jana Bado Everton atakamilisha Hiyo kz coz lazima Everton amfunge man city Ktk game yake ili acheze UCL next season!
Kwahiyo niko Na nyie tu ata mfanyeje!
hahahah
Mpira ungekuwa mwepesi namna hiyo basi hata Cardiff city wangeweza kuchukua UBINGWA..
Ba ndo goal lake la sita sjui lile, tangu umemsajil..kwahyo kisa kakuokoa na Swansea, ndo unafikir atakufanyia maajabu pale ANFIELD..????
Kwahyo Me nikikufunga trh27, hata huyo Man city akidrop hzo point, we itakusaidia nn na Moronyo wako????
Mkuu achana kubishana na plastic fans wa Chelshit.
sisi tunabishana na watani wetu wa jadi ambao ni ManU.
Hawa Chelshit ni watu wa jana tu baada ya kuja Abamovich na Maureen.
the biggest game in the EPL has always and will always be between Liverpool vs Man U
Hawa wengine ni watoto wa jana tu
LFC for Glory 2014.. Mourinho atapasuka Anfield..Back to Glory days!! You know what I mean right? YNWA!!
Chelsea iko kwenye EPL kwa muda gani? Au ndio imepanda daraja juzi na kuingia EPL?
Acheni hoja mgando nyie! Hiyo timu yenu yenyewe ndio kwanza inafufuka baada ya kukaa no 7 kwa miaka Zaidi ya 20. Teh Teh Teh Teh Teh
Eti plastic fans Teh Teh Teh Teh hoja mgando na mawazo ya ki-tbc1 hamtaki kuona ukweli!
Brendan Rodgers lazima apasuke hapo kwakwe anifield
Na Hilo la kunifunga tu Hiyo tarehe 27 halipo kabisa na usahau kabisa! Km Ushindi wako kupata Wewe ni droo! Lkn lazima upigwe!
achana na hayo mazee ya zamani Ntuzu; utafikiri yalikuwa yanatazama mpira enzi za miaka ya 1970 wakati Liverfool wanachukua ubingwa. Uwe LIverpool sote tumeanza kuangalia mpira ndani ya miaka 20 iliyopita zaidi ya hapo tulikuwa tunatazama mpira kwenye mikanda iliyorekodiwa..kama muvi..
miaka yote mnacheza hampati ubingwa..timu gani ya kizee..tupa kule
Chelsea iko kwenye EPL kwa muda gani? Au ndio imepanda daraja juzi na kuingia EPL?
Acheni hoja mgando nyie! Hiyo timu yenu yenyewe ndio kwanza inafufuka baada ya kukaa no 7 kwa miaka Zaidi ya 20. Teh Teh Teh Teh Teh
Eti plastic fans Teh Teh Teh Teh hoja mgando na mawazo ya ki-tbc1 hamtaki kuona ukweli!
kocha wa wachezaji wa akiba Chelsea fc - 2004.
kocha wa wachezaji wa akiba Chelsea fc - 2004.
LIVERPOOL anafungika sana tu; tuliwafunga raundi ya kwanza na tutawafunga tena;
ushindi wa 3-2 unaonyesha kwamba hawana mabeki.
sisi ndo wazee wa 'clean sheet' tutawapiga 1 au 2 bila mtulie..
chelsea fc 4-2-3-1 the best formation ever!
Ntuzu we kwel plastic fan, Liverpool imeganda number 7 kwa miaka 20...??????
Kama Jose Mourinho alivyokuwa interpreter wa Sir Bobby Robnson kule FC PORTO na BARCELONA.
Sawa....hilo halina ubishi...umetumia nguvu nyingi kuelezea kitu ambacho kipo wazi sana....ni sawa na kutumia nguvu nyingi kusema dunia ni ya duara!!!