Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkiacha kuitaja Chelsea Ktk mijadala yenu na Mimi ntaacha kuja kwenu!

Btw ninakuja humu kwasababu Nina biashara na Wewe tarehe 27.

Kz ya kumdrop city imeanza kufanywa na Arsenal na nyie Jana Bado Everton atakamilisha Hiyo kz coz lazima Everton amfunge man city Ktk game yake ili acheze UCL next season!

Kwahiyo niko Na nyie tu ata mfanyeje!

Kwahyo Me nikikufunga trh27, hata huyo Man city akidrop hzo point, we itakusaidia nn na Moronyo wako????
 
hahahah

Mpira ungekuwa mwepesi namna hiyo basi hata Cardiff city wangeweza kuchukua UBINGWA..

Ba ndo goal lake la sita sjui lile, tangu umemsajil..kwahyo kisa kakuokoa na Swansea, ndo unafikir atakufanyia maajabu pale ANFIELD..????
Mkuu achana kubishana na plastic fans wa Chelshit.
sisi tunabishana na watani wetu wa jadi ambao ni ManU.
Hawa Chelshit ni watu wa jana tu baada ya kuja Abamovich na Maureen.
the biggest game in the EPL has always and will always be between Liverpool vs Man U
Hawa wengine ni watoto wa jana tu
 
vitoto vya Maureen mna matatizo kweli
 
LFC for Glory 2014.. Mourinho atapasuka Anfield..Back to Glory days!! You know what I mean right? YNWA!!
 
hahahah

Mpira ungekuwa mwepesi namna hiyo basi hata Cardiff city wangeweza kuchukua UBINGWA..

Ba ndo goal lake la sita sjui lile, tangu umemsajil..kwahyo kisa kakuokoa na Swansea, ndo unafikir atakufanyia maajabu pale ANFIELD..????

Naielewa fixtures yng Vzr na ndio Maana nimekuambia hivyo! Usifikiri tunavyowapa nafasi km kina Salah na Ba na Matic kuanza kucheza ukafikiri mchezo! Hao ndio watakuja kukuua hapo anfield!

Sio nyie mnakosa mbadala! Sasaiv mnalalama kwa Kadi nyekundu ya Henderson, Mara oh Lucas anashuka sn ndani ya box!
 
Kwahyo Me nikikufunga trh27, hata huyo Man city akidrop hzo point, we itakusaidia nn na Moronyo wako????

Na Hilo la kunifunga tu Hiyo tarehe 27 halipo kabisa na usahau kabisa! Km Ushindi wako kupata Wewe ni droo! Lkn lazima upigwe!
 
Mkuu achana kubishana na plastic fans wa Chelshit.
sisi tunabishana na watani wetu wa jadi ambao ni ManU.
Hawa Chelshit ni watu wa jana tu baada ya kuja Abamovich na Maureen.
the biggest game in the EPL has always and will always be between Liverpool vs Man U
Hawa wengine ni watoto wa jana tu

Chelsea iko kwenye EPL kwa muda gani? Au ndio imepanda daraja juzi na kuingia EPL?

Acheni hoja mgando nyie! Hiyo timu yenu yenyewe ndio kwanza inafufuka baada ya kukaa no 7 kwa miaka Zaidi ya 20. Teh Teh Teh Teh Teh

Eti plastic fans Teh Teh Teh Teh hoja mgando na mawazo ya ki-tbc1 hamtaki kuona ukweli!
 
achana na hayo mazee ya zamani Ntuzu; utafikiri yalikuwa yanatazama mpira enzi za miaka ya 1970 wakati Liverfool wanachukua ubingwa. Uwe LIverpool sote tumeanza kuangalia mpira ndani ya miaka 20 iliyopita zaidi ya hapo tulikuwa tunatazama mpira kwenye mikanda iliyorekodiwa..kama muvi..

miaka yote mnacheza hampati ubingwa..timu gani ya kizee..tupa kule

LIVERPOOL anafungika sana tu; tuliwafunga raundi ya kwanza na tutawafunga tena;

ushindi wa 3-2 unaonyesha kwamba hawana mabeki.
sisi ndo wazee wa 'clean sheet' tutawapiga 1 au 2 bila mtulie..

chelsea fc 4-2-3-1 the best formation ever!
Na Hilo la kunifunga tu Hiyo tarehe 27 halipo kabisa na usahau kabisa! Km Ushindi wako kupata Wewe ni droo! Lkn lazima upigwe!
 
achana na hayo mazee ya zamani Ntuzu; utafikiri yalikuwa yanatazama mpira enzi za miaka ya 1970 wakati Liverfool wanachukua ubingwa. Uwe LIverpool sote tumeanza kuangalia mpira ndani ya miaka 20 iliyopita zaidi ya hapo tulikuwa tunatazama mpira kwenye mikanda iliyorekodiwa..kama muvi..

miaka yote mnacheza hampati ubingwa..timu gani ya kizee..tupa kule

Mkuu Hawa ndugu zetu mawazo Yao mgando sn! Wakiishiwa hoja utasikia ooh unakuja kutupigia kelele na wakati Ktk hoja zao kuuuutwa wanaitaja Chelsea Ktk mipango Yao fake! Ukiwambia ukweli wanaanza ohhh plastic fans! Yani Hawa majanga kweli!
 
Chelsea iko kwenye EPL kwa muda gani? Au ndio imepanda daraja juzi na kuingia EPL?

Acheni hoja mgando nyie! Hiyo timu yenu yenyewe ndio kwanza inafufuka baada ya kukaa no 7 kwa miaka Zaidi ya 20. Teh Teh Teh Teh Teh

Eti plastic fans Teh Teh Teh Teh hoja mgando na mawazo ya ki-tbc1 hamtaki kuona ukweli!

Ntuzu we kwel plastic fan, Liverpool imeganda number 7 kwa miaka 20...??????
 
LIVERPOOL anafungika sana tu; tuliwafunga raundi ya kwanza na tutawafunga tena;

ushindi wa 3-2 unaonyesha kwamba hawana mabeki.
sisi ndo wazee wa 'clean sheet' tutawapiga 1 au 2 bila mtulie..

chelsea fc 4-2-3-1 the best formation ever!

Juzi kwa game Yao na city ilibaki Kidogo tu Iwe droo kwasababu haiwezekani kabisa eti timu ipate goli mbili then zirudi zote! Teh Teh Teh Teh

Walikimbia kwa muda mashabiki vibabu vya Loserfool humu! Na baada ya hapo wakaja wengine presha ilikua imepanda kipindi cha pili mara Sijui nini! Timu Bado kabisa!

Na next season kwenye UCL hawatofika mbali tuko hapa!
 
Kama Jose Mourinho alivyokuwa interpreter wa Sir Bobby Robnson kule FC PORTO na BARCELONA.

Limekupata na Hilo na mtachoka kila Siku kumzarau Jose na kumsifia huyo BR wenu!
 
Back
Top Bottom