MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Mkiacha kuitaja Chelsea Ktk mijadala yenu na Mimi ntaacha kuja kwenu!
Btw ninakuja humu kwasababu Nina biashara na Wewe tarehe 27.
Kz ya kumdrop city imeanza kufanywa na Arsenal na nyie Jana Bado Everton atakamilisha Hiyo kz coz lazima Everton amfunge man city Ktk game yake ili acheze UCL next season!
Kwahiyo niko Na nyie tu ata mfanyeje!
Kwahyo Me nikikufunga trh27, hata huyo Man city akidrop hzo point, we itakusaidia nn na Moronyo wako????