Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Safi sn Mkuu! Km ukinifunga bilashaka ntakuja kukupa hongera! Na Nikuombe na Wewe ufanye hivyo nikikufunga!
Najiamini kwasababu naiamini sn timu yng!
Na ratiba kwa sasa imekaa Pouwa sn!
Yani jumamosi niko na Sunderland then 22 niko kwa ATM kumaliza kz kulele kwake Ili Ktk Siku 5 kabla ya kukuvaa Wewe wachezaji wapumzike vya kutosha Na na kufanya maandalizi ya kutosha Ili tarehe 27 nikumalize kabisa Alafu nije nimalize kz kwa ATM tarehe 30 nyumbani taratibu!
Umeona hapo?
Mourinho hana ubavu wala historia ya kushinda Anfield kwenye decisive games kama hizi. Rejea 2005 na 2007!!
Hahahaha mbona thread haikukimbiwa mkuu. Ntuzu ninachotaka usadiki ni kwamba liver we have all favouring factors to the tittle than Chelsea & man city. Factor no.1 chelsea anakuja anfield and u know we never walk alone at home. Other factors u will list on your own hahahahaha!!
Swali la mwisho Maana nimekuambia mpira si kuona ila ni 90mins na kama nikuona basi tunaiona iyo league table inampa nani nafasi
1. Je uliweza jua kua C. Palace atamfunga chelsea?????????
2. Je uliweza jua Cardif City atamfunga City????
Kama ukujua hayo basi hata sasa hujui kijacho kila mmoja anaweza kua bingwa ila LFC wako kwenye nafasi nzuri
Bila shaka ntakuja kukupa pole make na uhakika lazima uumie!
Mi nilijua Cardiff city watamfunga Man city! Na Mpira ulijionyesha kabisa wazi!
Goli mbili zilikua za Penalty za kupewa na FAINAL iliyofata mlikutana na Ac Milan kilichokukuta unakikumbuka uzuri kabisa! Nyie ni jogoo liwikalo kijijini tu!
nimecheka sana, eti penalty zilikuwa mbili.... mpira umeanza kushabikia lini? haya hizo penalty mbili walipiga wakina nani?
Mkuu heri wewe uliyeona ilo, na kusisitiza hapo ni kua league bado haijaisha anything can happen!!Hawa jamaa zako bora umenistua maana nisije nikawa naongea na watu wenye misimamo yao, wao hawaongei uhalisia, alafu nafahamu kua kuna watu wao wapo kwaajiri ya KUBISHANA TU.
Mmmhhh???uliona wapi wakat mechi ilikua haijachezwa, mbona unaongea vitu visivyoeleweka mkuu, na vipi mbona iyo ya chelsea umeikalia kimya
Ata kwa man city na PSG mlisema hivyo hivyo Lkn kilichowakuta mlikiona wenyewe!
Kubishana ni moja ya mijandala! Mtu lazima uumize kichwa sio utoe hoja tu!
Btw mipira ndivyo ilivyo na hii ni moja ya vionjo vyake au hujui Hilo? Mmmh Mkuu?
Kwani hamkupewa penalty?
Mourinho alisisitiza kutokupoteza game pale Etihad Ili abaki Ktk title race na kwa sasa msimamo wake ni km ule Wa pale Etihad Kwahiyo Siku Hiyo mjiandae Vzr Maana hamchelewi kukimbia thread yenu km juzi baada ya city kusawazisha!
Wewe na ndugu Mr. Wise Mkitaka tuchambue soccer Ktk uhalisia wake anzisheni thread ingine Lkn tukikutana humu kwa thread yenu au yetu lazima mapenzi ya timu yawe mbele!
Na ki ukweli ni kwamba Chelsea uwezo Wa kuifunga Liverpool anfield Upo Na tunao tena mkubwa tu!
Kwahiyo tunaongea kitu kwa uhakika na si ubishi km mnavyosema nyie!
mr wise na baba kelvin mtapasuka bure kubishana na ntuzu hana anachojua zaidi ya ubishi tu, saivi anasema eti liver walipata magoli mawili ya penalty cku waliposawazisha na av milan, wakati hatukupata hata1 goli la penalty
Liverpool ni habari nyingine Ntuzu. Ni almost kosa la jinai katika ufahamu wa soka la vilabu Ulaya kuilinganisha Liverpool na hao vifaranga uliowataja....absolutely worlds apart!!
Hoja ipi ya maana uliyoitoa yenye vigezo vya kuiondoa LFC kwenye mbio za ubingwa????Ama tupe hata media yoyote au wachambuzi wowote wa soka duniani waliochambua EPL nakuiondoa LFC kwenye mbio za ubingwa kwasasa