Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Safi sn Mkuu! Km ukinifunga bilashaka ntakuja kukupa hongera! Na Nikuombe na Wewe ufanye hivyo nikikufunga!

Najiamini kwasababu naiamini sn timu yng!

Na ratiba kwa sasa imekaa Pouwa sn!

Yani jumamosi niko na Sunderland then 22 niko kwa ATM kumaliza kz kulele kwake Ili Ktk Siku 5 kabla ya kukuvaa Wewe wachezaji wapumzike vya kutosha Na na kufanya maandalizi ya kutosha Ili tarehe 27 nikumalize kabisa Alafu nije nimalize kz kwa ATM tarehe 30 nyumbani taratibu!

Umeona hapo?

Bila shaka ntakuja kukupa pole make na uhakika lazima uumie!
 
Mourinho hana ubavu wala historia ya kushinda Anfield kwenye decisive games kama hizi. Rejea 2005 na 2007!!

Ata kwa man city na PSG mlisema hivyo hivyo Lkn kilichowakuta mlikiona wenyewe!
 
Hahahaha mbona thread haikukimbiwa mkuu. Ntuzu ninachotaka usadiki ni kwamba liver we have all favouring factors to the tittle than Chelsea & man city. Factor no.1 chelsea anakuja anfield and u know we never walk alone at home. Other factors u will list on your own hahahahaha!!

That day you are going to walk alone!

Teh Teh Teh Teh Teh

Kuja anfield si chochote! Tumepita Ktk machinjio hatari ya Etihad km TARIME kwa Wakurya! Kwenye forwards wenye njaa ya magoli na tukatoka Salama sembuse hapo kwa jogoo?!!! Teh Teh Teh Teh
 
Last edited by a moderator:
Swali la mwisho Maana nimekuambia mpira si kuona ila ni 90mins na kama nikuona basi tunaiona iyo league table inampa nani nafasi
1. Je uliweza jua kua C. Palace atamfunga chelsea?????????
2. Je uliweza jua Cardif City atamfunga City????
Kama ukujua hayo basi hata sasa hujui kijacho kila mmoja anaweza kua bingwa ila LFC wako kwenye nafasi nzuri

Mi nilijua Cardiff city watamfunga Man city! Na Mpira ulijionyesha kabisa wazi!
 
Bila shaka ntakuja kukupa pole make na uhakika lazima uumie!

Teh Teh Teh Teh

Baba Kelvin Siku jeshi la langi ya blue likitua hapo wote mtaanza tetemeka!

Ebu Fatilia kauli za kocha wako uone anasema nini juu ya Jose Mourinho?!
 
Last edited by a moderator:
Mi nilijua Cardiff city watamfunga Man city! Na Mpira ulijionyesha kabisa wazi!

Mmmhhh???uliona wapi wakat mechi ilikua haijachezwa, mbona unaongea vitu visivyoeleweka mkuu, na vipi mbona iyo ya chelsea umeikalia kimya
 
Goli mbili zilikua za Penalty za kupewa na FAINAL iliyofata mlikutana na Ac Milan kilichokukuta unakikumbuka uzuri kabisa! Nyie ni jogoo liwikalo kijijini tu!

nimecheka sana, eti penalty zilikuwa mbili.... mpira umeanza kushabikia lini? haya hizo penalty mbili walipiga wakina nani?
 
Mkuu heri wewe uliyeona ilo, na kusisitiza hapo ni kua league bado haijaisha anything can happen!!Hawa jamaa zako bora umenistua maana nisije nikawa naongea na watu wenye misimamo yao, wao hawaongei uhalisia, alafu nafahamu kua kuna watu wao wapo kwaajiri ya KUBISHANA TU.

Kubishana ni moja ya mijandala! Mtu lazima uumize kichwa sio utoe hoja tu!

Btw mipira ndivyo ilivyo na hii ni moja ya vionjo vyake au hujui Hilo? Mmmh Mkuu?
 
Mmmhhh???uliona wapi wakat mechi ilikua haijachezwa, mbona unaongea vitu visivyoeleweka mkuu, na vipi mbona iyo ya chelsea umeikalia kimya

Kuna sababu nyingi tu zilinifanya nifahamu hivyo! Na Mpira wenyewe ulijionyesha!

Kukalia kimya vya Chelsea kuna maanisha kwamba Siko hapa kwa kubishana tu Bali tunajadili uhalisia!
 
Ata kwa man city na PSG mlisema hivyo hivyo Lkn kilichowakuta mlikiona wenyewe!

Liverpool ni habari nyingine Ntuzu. Ni almost kosa la jinai katika ufahamu wa soka la vilabu Ulaya kuilinganisha Liverpool na hao vifaranga uliowataja....absolutely worlds apart!!
 
Kubishana ni moja ya mijandala! Mtu lazima uumize kichwa sio utoe hoja tu!

Btw mipira ndivyo ilivyo na hii ni moja ya vionjo vyake au hujui Hilo? Mmmh Mkuu?

Hoja ipi ya maana uliyoitoa yenye vigezo vya kuiondoa LFC kwenye mbio za ubingwa????Ama tupe hata media yoyote au wachambuzi wowote wa soka duniani waliochambua EPL nakuiondoa LFC kwenye mbio za ubingwa kwasasa
 
Kwani hamkupewa penalty?

acha kukimbia ukweli nataka uthibitishe hizo goli 2 za penalty walipiga wakina nani hadi mechi ikawa 3-3, mi nimekwambia ndani ya dk6 mtu alipigwa tatu na ninaweza kuthibitisha kwani najua goli la kwanza hadi la tatu yaliingia dk zipi? thibitisha wewe hao waliofunga hayo ya penalty
 
mr wise na baba kelvin mtapasuka bure kubishana na ntuzu hana anachojua zaidi ya ubishi tu, saivi anasema eti liver walipata magoli mawili ya penalty cku waliposawazisha na av milan, wakati hatukupata hata1 goli la penalty
 
Mourinho alisisitiza kutokupoteza game pale Etihad Ili abaki Ktk title race na kwa sasa msimamo wake ni km ule Wa pale Etihad Kwahiyo Siku Hiyo mjiandae Vzr Maana hamchelewi kukimbia thread yenu km juzi baada ya city kusawazisha!

Hivi mnakumbuka mechi ya Stamford bridge refa aliwabeba?

Na ile mechi soccer pundits wengi wa England wali-comment kuwa Chelsea ali-"turn up with the performance of the season" kuishinda Liverpool.
Sasa kama ile ndiyo ilikuwa performance of the season yenu na bado mkashinda kwa kubebwa - je Anfield si mtakiona kilichomnyoa Everton ambaye hadi siku ile pale Anfield alikuwa na the best defensive record in the league??!

Mourinho atashangazwa. Subirini....
 
Wewe na ndugu Mr. Wise Mkitaka tuchambue soccer Ktk uhalisia wake anzisheni thread ingine Lkn tukikutana humu kwa thread yenu au yetu lazima mapenzi ya timu yawe mbele!

Na ki ukweli ni kwamba Chelsea uwezo Wa kuifunga Liverpool anfield Upo Na tunao tena mkubwa tu!

Kwahiyo tunaongea kitu kwa uhakika na si ubishi km mnavyosema nyie!

nakutana na wewe thread ya chelsea,man utd,arsenal,man city lakini uko hivi hivi chelsea chelsea chelsea huna uhalisia, huongei kimpira uko kishabiki zaidi....mimi ni man utd lakini hapa naongea reality hatima yenu ipo mikononi mwa timu mbili man city na liverpool....mpaka hizo timu mbili zivurunde ndio mtashinda huu ubingwa...lakini wewe unavyoongea ni kama ubingwa uko mikononi mwenu sio kweli....man city akishinda game zake zote na nyinyi mshinde man city bingwa hali kadhalika liverpool.
 
ntuzu kashavurugwa hajielewi kabisa, mechi mbili za mwisho kufungwa kafungwa na timu Ambazo hakutegemea kabiisa kama atafungwa, liver kashinda game10 mfululizo na bado anaona kabakisha game4 nashangaa chelsea kubakisha game1
 
mr wise na baba kelvin mtapasuka bure kubishana na ntuzu hana anachojua zaidi ya ubishi tu, saivi anasema eti liver walipata magoli mawili ya penalty cku waliposawazisha na av milan, wakati hatukupata hata1 goli la penalty

Mkuu huyu amebugi kusema tulipata penalty mbili, ndio ni kweli tulipata penalt moja Steven Gerrard alifanyiwa madhambi na penalt ilipigwa na Alonso kipa alipoicheza Alonso akakimbilia kuimalizia ikawa goli la kawaida na si penalt tena
 
Liverpool ni habari nyingine Ntuzu. Ni almost kosa la jinai katika ufahamu wa soka la vilabu Ulaya kuilinganisha Liverpool na hao vifaranga uliowataja....absolutely worlds apart!!

Teh Teh Teh Teh

Mtakalia history tu!
 
Hoja ipi ya maana uliyoitoa yenye vigezo vya kuiondoa LFC kwenye mbio za ubingwa????Ama tupe hata media yoyote au wachambuzi wowote wa soka duniani waliochambua EPL nakuiondoa LFC kwenye mbio za ubingwa kwasasa

Kwahiyo Wewe ndio umetoa hoja sio?

Kaa usubiri uone Hiyo tarehe 27 Utakuja hapa na hoja zako za media!
 
Back
Top Bottom