Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Safi sn Mkuu! Km ukinifunga bilashaka ntakuja kukupa hongera! Na Nikuombe na Wewe ufanye hivyo nikikufunga!
Najiamini kwasababu naiamini sn timu yng!
Na ratiba kwa sasa imekaa Pouwa sn!
Yani jumamosi niko na Sunderland then 22 niko kwa ATM kumaliza kz kulele kwake Ili Ktk Siku 5 kabla ya kukuvaa Wewe wachezaji wapumzike vya kutosha Na na kufanya maandalizi ya kutosha Ili tarehe 27 nikumalize kabisa Alafu nije nimalize kz kwa ATM tarehe 30 nyumbani taratibu!
Umeona hapo?
Bila shaka ntakuja kukupa pole make na uhakika lazima uumie!