mr wise na baba kelvin mtapasuka bure kubishana na ntuzu hana anachojua zaidi ya ubishi tu, saivi anasema eti liver walipata magoli mawili ya penalty cku waliposawazisha na av milan, wakati hatukupata hata1 goli la penalty
Kwahiyo Wewe ndio umetoa hoja sio?
Kaa usubiri uone Hiyo tarehe 27 Utakuja hapa na hoja zako za media!
Hivi mnakumbuka mechi ya Stamford bridge refa aliwabeba?
Na ile mechi soccer pundits wengi wa England wali-comment kuwa Chelsea ali-"turn up with the performance of the season" kuishinda Liverpool.
Sasa kama ile ndiyo ilikuwa performance of the season yenu na bado mkashinda kwa kubebwa - je Anfield si mtakiona kilichomnyoa Everton ambaye hadi siku ile pale Anfield alikuwa na the best defensive record in the league??!
Mourinho atashangazwa. Subirini....
Teh Teh Teh Teh
Mtakalia history tu!
nakutana na wewe thread ya chelsea,man utd,arsenal,man city lakini uko hivi hivi chelsea chelsea chelsea huna uhalisia, huongei kimpira uko kishabiki zaidi....mimi ni man utd lakini hapa naongea reality hatima yenu ipo mikononi mwa timu mbili man city na liverpool....mpaka hizo timu mbili zivurunde ndio mtashinda huu ubingwa...lakini wewe unavyoongea ni kama ubingwa uko mikononi mwenu sio kweli....man city akishinda game zake zote na nyinyi mshinde man city bingwa hali kadhalika liverpool.
ntuzu kashavurugwa hajielewi kabisa, mechi mbili za mwisho kufungwa kafungwa na timu Ambazo hakutegemea kabiisa kama atafungwa, liver kashinda game10 mfululizo na bado anaona kabakisha game4 nashangaa chelsea kubakisha game1
Historia ni experience....inaondoa naivety.
Historia inazalisha values.
Historia ni inspiration, men!!!
Kwani nayoseama hayatokei? Wewe si Ulisema PSG wangetutoa? Mimi nikakataa!
Teh Teh Teh Teh Teh
Ndio sababu toka uko juu nakuambia mpira ni 90mins tusubiri sio hizo kelele zako za kua Liver sio bingwa wakati hata ligi haijaisha
nimehamia ATM sasa hivi
Umeona eeeeeeh? Tuko na ATM! Karibu sn na Wewe utoe hoja zako!
mimi nasubiri mpira uanze ndio nitaongea,sio sheikh yahya mimi sijui yajayo....ila kumbukumbu zangu zinaniambia tangu 2007 timu inayoitoa barcelona ecl inakuwa bingwa.....
inter milan,man utd,bayern,chelsea wamefanya hivyo miaka mingine barca mwenyewe kawa bingwa....
Kwa PSG uligeuka Kua sheikh Yahaya kiduchu tu! Ila kwa ATM Hutaki!
unachonga sana ww wakati game na Swansea city ulitokea kwenye tundu la sindano??
mshukuru jamaa walikuwa pungufu lasivyo wangewapaka mavi.
kunatime mlikamatwa sana kipa wenu alikuwa anapigiwa mashuti ya maana mpaka anachafua hali ya hewa.
jamaaa penyewe walikuwa pungufu lakini waliwatoa jasho sana .
dk ya 59 Terry kaokoa mpira namkono tefa akauchuna .
Teh Teh Teh
Kapitie tena ripoti ya timu zote mbili uone ukweli!
Nyie ndio mliponea chupuchupu Ike game yenu na city! Teh Teh Teh Teh
Wewe hauchongi sn! Teh Teh Teh Teh
CHELSEA FC - ni timu bora kuliko LIVERPOOL tangu premier league era..
LIVERPOOL ilikuwa timu bora..huenda ikijitahidi itaweza kurudisha makali yake ya zamani.. kwa sasa ukiangalia rekodi zote hizo LIVERPOOL anaonekana mara chache sana..tangu PREMIER LEAGUE ianze..1992. ANY QUESTION?
Teh Teh Teh
Kapitie tena ripoti ya timu zote mbili uone ukweli!
Nyie ndio mliponea chupuchupu Ike game yenu na city! Teh Teh Teh Teh
Wewe hauchongi sn! Teh Teh Teh Teh
kaka nakuambiaga kila siku kuwa katika mashabiki wa chelshit wenye akili mgando we ndo utakuwa wa kwanza....
LIVERPOO imekuzid wewe kwenye kila kitu kaka, kwanini huwa unatumia muda mwingi sana kuifananisha Liverpool na Chelshit kwa Statistics za kitoto kama hizo???
Since 1992, liverpool have won, UCL, FA cups, Europa League, League Cups, Super Cups na mengine kibao, na katika hzo competitions zote hapo juu, nmekupita kwa mbali kwa idadi ya makombe..
Tangu Chelshit ianzishwe mwaka 1905 ilisubiria miaka almost 50 kuwin league title kwa mara ya kwanza, Baada ya hapo ikasubiri miaka 55 kuja kuwin the title kwa mara ya pili 2004/2005, asa nahis inakuuma coz unaona Liver inakaribia kuchukua kombe huku ikiwa imesubiria kwa miaka 23 tu, kutakuwa na gap ya miaka 32 hapo aisee, na ulifanya a Massive investment mpaka ukalichukua hilo kombe for the first time, watu kuna watu wanarikaribia kwa kikosi cha kawaida, ambapo wewe hujawah kufanya kwa miaka 55...
Afu ukija kwenye statistics ndo utaumia kaka...
Ngoja tuchek statistics za head to head matches kati yako na mm, Chelshit na Liverpool zimekutana mara 167, Draw zilikuwa ni 38, Chelshit ameshinda mara 56, Liverpool mara 73..
Kwenye trophies ndo kabisaaa, tangu umeanzishwa una jumla ya trophies 26 tu katika competitions zoooote, seriously???!!...Liverpool wana jumla ya Trophies 60 katika Cabinet yao..bado unajilinganisha na Liverpool??
Kwenye UCL, bado huna ile Multple winner badge, wala kwenye UEFA cups huna pia..bado unajifananisha na Liverpool???
Man City recently ndo club yenye power zaid pale UK kwasababu ya Massive investment waliyoifanya, wana kila aina ya mchezaji wanayemtaka, lakin leo hii ukienda pale UK na kuanza kupiga makelele kuwa Man city ni kubwa zaid ya Liverpool, Man utd na Arsenal watu watakushangaa sana aisee..
Chelshit ni team ndogo sana Europe, kistatistically na kihistoria huna power yoyote mbele ya Liverpool, Man utd, Madrid, Bayern, Barcelona, Ac milan, Juventus, Internazionale..na team zingne kibao za Europe...we ni kama kichanga unaekuwa comparing na hizo teams...
fikisha idadi ya makombe hata 50 basi, ndo uje utupigie makelele hapa..kwenye league anza na efforts za kuwapita Aston villa, Sunderland, Everton, ndo uje kwa Arsenal, then Liverpool afu Manure, ndo tutakuwa tunakuweka level moja...
Afu kazana Man city asikufikie kaka, ana league titles 3 we unazo 4, anaweza akakufkia na kukupita..Dah..kumbe kwenye list ya FA kwenye team zilizochukua league titles, naona umeshamfikia Newcastle utd, nae ana 4..kazana utafika shekhe...
Kwenye UEFA nako jitahid, lakini ndo hivyo tena NIMERUDI..rejea interview ya GUARDIOLA..