CHELSEA FC - ni timu bora kuliko LIVERPOOL tangu premier league era..
LIVERPOOL ilikuwa timu bora..huenda ikijitahidi itaweza kurudisha makali yake ya zamani.. kwa sasa ukiangalia rekodi zote hizo LIVERPOOL anaonekana mara chache sana..tangu PREMIER LEAGUE ianze..1992. ANY QUESTION?
kaka nakuambiaga kila siku kuwa katika mashabiki wa chelshit wenye akili mgando we ndo utakuwa wa kwanza....
LIVERPOO imekuzid wewe kwenye kila kitu kaka, kwanini huwa unatumia muda mwingi sana kuifananisha Liverpool na Chelshit kwa Statistics za kitoto kama hizo???
Since 1992, liverpool have won, UCL, FA cups, Europa League, League Cups, Super Cups na mengine kibao, na katika hzo competitions zote hapo juu, nmekupita kwa mbali kwa idadi ya makombe..
Tangu Chelshit ianzishwe mwaka 1905 ilisubiria miaka almost 50 kuwin league title kwa mara ya kwanza, Baada ya hapo ikasubiri miaka 55 kuja kuwin the title kwa mara ya pili 2004/2005, asa nahis inakuuma coz unaona Liver inakaribia kuchukua kombe huku ikiwa imesubiria kwa miaka 23 tu, kutakuwa na gap ya miaka 32 hapo aisee, na ulifanya a Massive investment mpaka ukalichukua hilo kombe for the first time, watu kuna watu wanarikaribia kwa kikosi cha kawaida, ambapo wewe hujawah kufanya kwa miaka 55...
Afu ukija kwenye statistics ndo utaumia kaka...
Ngoja tuchek statistics za head to head matches kati yako na mm, Chelshit na Liverpool zimekutana mara 167, Draw zilikuwa ni 38, Chelshit ameshinda mara 56, Liverpool mara 73..
Kwenye trophies ndo kabisaaa, tangu umeanzishwa una jumla ya trophies 26 tu katika competitions zoooote, seriously???!!...Liverpool wana jumla ya Trophies 60 katika Cabinet yao..bado unajilinganisha na Liverpool??
Kwenye UCL, bado huna ile Multple winner badge, wala kwenye UEFA cups huna pia..bado unajifananisha na Liverpool???
Man City recently ndo club yenye power zaid pale UK kwasababu ya Massive investment waliyoifanya, wana kila aina ya mchezaji wanayemtaka, lakin leo hii ukienda pale UK na kuanza kupiga makelele kuwa Man city ni kubwa zaid ya Liverpool, Man utd na Arsenal watu watakushangaa sana aisee..
Chelshit ni team ndogo sana Europe, kistatistically na kihistoria huna power yoyote mbele ya Liverpool, Man utd, Madrid, Bayern, Barcelona, Ac milan, Juventus, Internazionale..na team zingne kibao za Europe...we ni kama kichanga unaekuwa comparing na hizo teams...
fikisha idadi ya makombe hata 50 basi, ndo uje utupigie makelele hapa..kwenye league anza na efforts za kuwapita Aston villa, Sunderland, Everton, ndo uje kwa Arsenal, then Liverpool afu Manure, ndo tutakuwa tunakuweka level moja...
Afu kazana Man city asikufikie kaka, ana league titles 3 we unazo 4, anaweza akakufkia na kukupita..Dah..kumbe kwenye list ya FA kwenye team zilizochukua league titles, naona umeshamfikia Newcastle utd, nae ana 4..kazana utafika shekhe...
Kwenye UEFA nako jitahid, lakini ndo hivyo tena NIMERUDI..rejea interview ya GUARDIOLA..