Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie hamna mahaba! Teh Teh Teh Teh

nyie ndo mmekazana mnaleta Mahaba humu,

Kwenye game ya Swansea ulipata ushindi wa tabu, hiyo ni Fact, na kila mtu aliliona hilo..

Mbona sisi tunakubal kuwa kwa Man city ilikuwa ni game tafu!!!!..lakin nyie mmejaa mahaba sana..

Mpaka inafikia hatua mtu anafananisha ukubwa wa liver na chelshit, ukimwambia atoe evidence, anakimbilia kusema liver team ya wazee, kwn hyo chelshit ilianzishwa mwaka gan???..na kwanini bas watu wasiifanye kuwa ni kubwa zaid ya Liverpool????

Team imeanzishwa mwaka 1905 unasema team ya vijana hyo, na Azam Fc wasemaje??!

Unachokiwa kusema ni kwamba chelshit ndo inaanza kupata mafanikio kwenye era, ingawa bado haijafika hata robo ya mafanikio tunayoyazungumzia hapa..
 


Teh Teh Teh Teh

Presha imepanda! Tarehe 27 Sijui hayo mahaba yenu mtayaweka wapi?
 
Km Mpira ni Dk90 Wambie wenzako wasiwaze ubingwa au kuota kuifunga Chelsea! Lkn nikiona hoja tu juu ya Chelsea imekaa kushotokushoto km miguu ya Mavumbi Omary lazima nijibu!

Niote kivip, wakat ni reality..

Hebu tuchukue misimu ya karbun hapa, wakati nilivyokuwa na hali mbaaaya sana kwenye league..

kuanzia msim wa 2010/2011 mpaka sasa 2013/2014..nimekufunga Mara 4, we ndo umenifunga mara MOJA tena ndo msimu huu...

Asa kipind hicho wakat liverpool ni Mbovu..Nmekufunga mara nne..Afu unaniambia niote kukufunga wewe???..

Chelshit fans bhana...

We jiulze unaingia vp Anfield, sehem ambayo hujashinda since 2010..tena kipind hicho Anfield ilikuwa kama OldTraford ya sahv, yaan ilikuwa mdebwedo..yaan unakuja Anfield huku unamtegemea Ba na Etoo..???

Kwanza huyo Ba atakuwa anakabwa na Beki alyemzid magoal, afu skritel akifanikiwa kufunga tena, atakuwa sawa na Etoo kwa magoli 8..
 
MosDef na nguvu Naona sasa imekua zamu yenu!

Wenzako tangu asubuhi wamechemka nyie ndo mtaweza?

Teh Teh Teh Teh Teh
 
Last edited by a moderator:
Uwa nakaa kimya tu mkuu mos kaa kimya tu chelshit fans hawajui wanaloliongea nisawa na shabiki wa azam kumtambia shabki wa yanga..
 
MosDef na nguvu Naona sasa imekua zamu yenu!

Wenzako tangu asubuhi wamechemka nyie ndo mtaweza?

Teh Teh Teh Teh Teh

hahahahh...

Hamna aliechemka..

tatzo watu waliona hoja zenu hazina mashikooooo..

afu mmetangulza mahaba mbeleee..
 
Last edited by a moderator:
MosDef na nguvu Naona sasa imekua zamu yenu!

Wenzako tangu asubuhi wamechemka nyie ndo mtaweza?

Teh Teh Teh Teh Teh

World Football / Soccer Clubs Ranking
Updated after matches played on 6 April 2014

RankClub / CountryPoints1-yr change
1
Bayern München
Germany20911
1969
2
Real Madrid
Spain20101
1941
3
Barcelona
Spain19632
1979
4
Paris Saint Germain
France19514
1821
5
Manchester City
England19144
1819


6
Juventus
Italy19111
1863
7
Atlético Madrid
Spain19086
1774
8
Liverpool FC
England189624
1671
9
Chelsea
England18736
1739
10
Benfica
Portugal18530
1801
11
Roma
Italy182750
1623
12
Manchester United
England18158
1911
13
Everton FC
England179915
1682
14
Borussia Dortmund
Germany17899
1870
15
Arsenal
England17832
1719
16
SSC Napoli
Italy17744
1705
17
Schalke 04
Germany176228
1649
18
Shakhtar Donetsk
Ukraine17507
1800
19
Ajax
Netherlands17410
1714
20
FC Porto
Portugal173414
1864
21
Olympiakos
Greece17203
1695
22
Tottenham Hotspur
England17178
1768
23
Sparta Prague
Czech Republic170739
1623
24
Sevilla
Spain170573
1588
25
Fiorentina
Italy169728
1632
26
Borussia Mönchengladbach
Germany169010
1661
27
Athletic Bilbao
Spain1687211
1501
28
Viktoria Plzeň
Czech Republic16847
1700
29
Grêmio
Brazil168312
1652
30
Parma
Italy168075
1582
31
Monaco
France1679184
1512
32
AC Milan
Italy167820
1784
33
Wolfsburg
Germany167584
1571
34
Galatasaray
Turkey167321
1631
35
Celtic
Scotland16712
1660
36
Lille
France16706
1652
37
Zenit Petersburg
Russia167015
1698
38
Real Sociedad
Spain16703
1665
39
Sporting
Portugal1664155
1522
40
Salzburg
Austria1662113
1540
41
Feyenoord
Netherlands16616
1648
42
Dnipro Dnipropetrovsk
Ukraine166022
1622
43
Saint-Étienne
France166016
1624
44
Basel
Switzerland165716
1624
45
Cruzeiro
Brazil1657118
1537
46
Bayer Leverkusen
Germany165028
1719
47
Levadia Tallinn
Estonia16504
1635
48
Metalist Kharkiv
Ukraine16472
1648
49
Fenerbahçe
Turkey16475
1632
50
Lyon
France164223
1689
123456789101112131415161718192021222324252627282930313233343536373839
Search
Confederations


Countries
 
Last edited by a moderator:

ingawa sjafanikiwa kuiweka vizuri, lakin hizo ni club ranks zilizotoka baada ya game za trh 6, bado hazjatoka nyingne..so zikija tutawekeana tena upadates hapa..
 
Uwa nakaa kimya tu mkuu mos kaa kimya tu chelshit fans hawajui wanaloliongea nisawa na shabiki wa azam kumtambia shabki wa yanga..

tatizo mkuu jaslaws, hawa watu wanajidanganya sana aisee

Mpira haupo kama wenyewe wanavyofikiria..

team inatakiwa kufuzu vigezo vingi ili iweze kupewa heshima ya Ukubwa na ubora kulingana na mafanikio yake..
 
hahahahh...

Hamna aliechemka..

tatzo watu waliona hoja zenu hazina mashikooooo..

afu mmetangulza mahaba mbeleee..


Teh Teh Teh Teh

Huko ndio kuchemka kwenyewe Mkuu!

BTW nafurahi sn kujadiliana na nyie nyote, coz Mpira bila mijadala hauendi Mkuu! Na pia thread yenu imekua hai Kidogo Maana kila wakati tuko tunabadilishana hoja!

Teh Teh Teh Teh

Naelewa wengine wanakereka sn Lkn niwaombe tu wazoeee Maana Mpira ndio ulivyo!

Kule kwa thread ya Arsenal na Man City walishanizoea na wananifahamu uzuri tu! Lkn kwa Kua nimeshamaliza biashara na hao na kubakiza na nyie ndio Maana nimeweka kambi Ktk thread yenu humu!
 

atakaechukia bas atakuwa siyo mshabiki halisi wa team..

hii ndo kazi ya mashabik, yaan kujaribu kujadiliana na kudefend team zako kwa hali na mali..majadiliano na hoja mchanganyiko za kimpira ndo kila kitu katika ulimwengu wa Soccer

Ndo maana hata huwa tunabishaga hodi kule kwenu mara kwa mara..

Mijadala ya kila aina inakaribishwa hapa..so kila mtu ana kaz ya kuprove kuwa team yake ni BORA..

Karibu saaaaaaana..

ila kuna mashabik wenzako huwa wanakuharbia sana Ntuzu, wanazidisha mahaba sana aiseee..

Tupo pamoja.

Soccer ni upendo..
 


Ni kweli Mkuu!

Soccer ni upendo!

Anyway! Mahaba ndio kila kitu kwa timu Mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…