JOSE MOURINHO
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 231
- 74
Maureen hanipi presha kama wanavoninyma raha CP hawa jamaa hawafai wamenishikishia adabu Everton tena alikuwa home!
Teh Teh Teh Teh Teh
Jidanganyeni tu!
Mwenzio City leo kaponea ICU...!
Gemu ijayo na Norwich tunajitengenezea goal difference ya 3 au 4 then tunakuwa juu ya City kwa GD pia...coz yeye ana 54 sisi tuna 51.
Mechi inayotisha ni ile ya mwisho na vijana wa Tony Pulis
tulia usome uelewe.....nimesoma huyo ni cheat ila uwezo wake wa kucheza mpira 'world class'.....kama ukiamua kuongea kiukweli na si kishabiki utakubali tabia ya SUAREZ ni chafu ila uwezo wake wa soka kila mtu anaujua....i dont hate its the reality he is a cheat but as a footballer he is a world beater.
hivi ungeandika kwa kiswahili pekee ungepata mimba vidoleni? Make kingereza chenyewe hujui!
Teh Teh Teh
Huyo ni city
Gemu yenu ijayo Sunderland anawapeleka ICU...kama alivyomfanyia City!
We are the team with special spirit!
Teh Teh Teh
You will see dude!
We are the team with special spirit!
Teh Teh Teh
You will see dude!
Refer 2010 chelsea ilipochukua ubingwa
Suarez simpendi sn! Ana matukio mabaya mabaya!
Mwenzio City leo kaponea ICU...!
Gemu ijayo na Norwich tunajitengenezea goal difference ya 3 au 4 then tunakuwa juu ya City kwa GD pia...coz yeye ana 54 sisi tuna 51.
mbona mchezaji wenu anachukua wake za watu? tatizo la watu weusi akiitwa mweusi anamaind eti kabaguliwa ------- kabisa evra
We are the team with special spirit!
Teh Teh Teh
You will see dude!
We jamaa kule kwenye thread yenu ya Chelsea huonekani, umehamia kabisa huku unasababisha watu tushindwe kujadili kuhusu timu yetu. Hata kama umepata bwana huku, muachie huyo mumeo ajadiliane na Kops wenzie wewe nenda jikoni kapike. Hatutaki kichefu chefu chako huku, sisi tunaongea habari za BR wewe unakuja na Moureen huku nani anamtaka? Au Una mimba changa maana umetuganda Sana kwenye special thread yetu, utauache bibie hatukutaki huku unaboa mno...
Mkuu kwani hao jamaa CP bado hatujacheza nao?
Ama kweli Sunderland wametusaidia kazi...!
Bravo Poyet!
Teh Teh Teh Teh Teh
Jidanganyeni tu!
Ulukolokwitanga Wewe Kabila gani? Nikuambie kwamba naweza kukujibu niwezavyo Lkn tutaonekana wote wajinga!
Hujalazimishwa kuquote post zng! Ukiona post yng iache!