Uwa nakaa kimya tu mkuu mos kaa kimya tu chelshit fans hawajui wanaloliongea nisawa na shabiki wa azam kumtambia shabki wa yanga..
Mkuu huyo anipi tabu! Na ndio Maana niko hapa!
Zaidi yeye ndio anaeonekana Kua Mwenye matatizo!
Mi mambo ya Mpira nayapenda sn na Mpira hasa wenyewe na ndio Maana Ktk threads zote za Mpira utakuta nimechungulia! Ni thread ya Man Utd tu ndio huwezi kuta nimeongea sn coz Man Utd wamekua na kipindi kigumu kwa muda mrefu sn mpk thread Yao imepoa vile!
Unajua mi napenda ushindani hasa Ktk Zile timu zinazo leta challenge kwa timu yng! Na ndio Maana thread ya Arsenal ilikua ndio ya kwanza kuishambulia mpk nilipomaliza biashara na wao! Na sasaivi wote tumekua marafiki km kina Katavi Sizinga etc all arsenal fans! Nikifungwa wananipa pole Nami pia nafanya hivyo! Kwahiyo ndio mambo ya Mpira yalivyo!
Then thread ya man city! Kule ndugu ndetichia ananifahamu sn na tumekua marafiki coz deal imekwisha! Imebaki adui yako muombee njaa! Teh Teh Teh Teh
Huku kwenu kulikua na mtu mmoja Mwenye Roho ngumu Mwenye SAINI ya NILIKUWEPO!( Okhondima ). Huyu kitambo anakomaa na liver Ktk jukwaa lake lililopoa! Wengi wamekuja sasaivi baada ya kuona, eeeh kumbe na sisi tunaweza! Teh Teh Teh Teh Teh
By the way, naheshimu hoja za Watu wote Iwe ukweli anachosema au mahaba kwanza kwa timu au ubishi tu! Na hii mpk sasa Nimekua na marafiki wengi Ktk mijadala km Wewe MosDef Baba Kelvin Gwamahala nguvu Mr. Wise na Liverpool fans wote ambao sijawataja na wapenzi Wa soccer wote, wenyew Twajadiliana uzuri kabisa hapa Ingawa itikadi yng au yetu Chelsea ni kutokukubali kushindwa au kuisema madhaifu timu yetu hadharani ndio Maana wengine wanasema Mbona Wewe Ntuzu unajiamini sn! Teh Teh Teh Teh ! Sisi hatuhofii cha timu yoyote ile na ndio Maana Ktk thread yetu kule hakuna hoja za kuhofia timu! Yani sisi Ni mwendo mdundo tu!
Pamoja sn Mkuu!
Na kuhusu ugeni wa jukwaa sio kwamba mie mi mgeni saana na uzi huu nadhani kipindi najiregister na jf huu uzi haukuwepo so siwez kua mgeni kama unavodhani,tulichokua tunafanya ni kunung'unika tu.timu yetu ilikua inafanya vibaya sana and we had nothing to talk about kama walivo watani wetu man u,jukwaa lao halina mvuto tena inabidi nadhani hata jina thread yao libadilishwe liwe "man u special mourning thread"sikuhizi kila weeked wanashikika tafauti na zamani,..
Hii ligi bado mbichi kabisa...4sure naihofia CP kuliko hata chelsky,Kufuatia matokeo ya jana ya Man city,tunatakiwa kushinda game tatu na droo moja kuchukua ndoo..! Ila naamini BR atafanya mambo.na Tactics za hatari...tatizo tunamkosa mchezaji wetu muhimu sana,Hendo..! kila nikifikiria simuoni wa kuziba nafasi yake pale..!
Mkuu ntuzu umenifurahisha sana ulivosema "upendi kushindwa"kumbe ukweli unaujua kua lazima tarehe 27 nikufanye kitoweo,ila kwa sababu ya tabia zako za ubishi na kutopenda kushindwa unakataa kua mkweli..kwa ili nashukuru na nafurahi nimegundua wewe mi mtu wa aina gani..
Itikadi yetu Mkuu hatushindwi! Kwahiyo Tarehe 27 huwezi kushinda!
Cheza kwanza na Sunderland afu ndo uje kwangu...!
Punguza Jazba! Anyway,wapi The Magnificent limekosewa? Mimi sijakukataza kuandika kwa lugha hiyo unayoipenda! Tatizo huijui! Unalazimisha tu....! ukiamua kuandika kitu kwa lugha fulani,hakikisha umeandika kwa usahihi...!
Karibu,
nionyeshe nilipokosea....na usahihishe.
Sunderland kamkomesha city tu Lkn kwa KTBFFH hawezi kitu!
Itikadi yetu Mkuu hatushindwi! Kwahiyo Tarehe 27 huwezi kushinda!
Wakuu ebu Acheni kuzozana kwa Kabila ambayo si yako! Sote tumejifunza tu Hiyo Kabila na si Wa kuzaliwa kwa asili! Kwahiyo kukosea ni lazima. Wenye Kabila Hiyo ni waingereza, Wamarekani, waaustralia, wanewzaland, part of Canada, na nchi zinazoongea English kwa asili! Lkn wote tuliobaki twajifunza! Acheni wakuu hayo mambo!
kukosoana na kusahihishana si ndio kujifunza??
Sawa Lkn si kwa matumizi Km haya "F....Off" unakumbuka hapo nyuma uliandika hivi?
Anyway! Km mnajifunza endeleeni Lkn Mimi nimetoa ushauri tu kwa wadau wenzangu Wa soccer
Ni kweli Man U siyo level ya Liverpool...uje tuzungumze cku ukiwa na ndoo tano za CL na Super Cups za kutosha.
LFC ni giant wa ulaya alongside RM, Bayern,Ajax AC Milan na SIYO Manure!!!
YNWA...!