Mkuu huyo anipi tabu! Na ndio Maana niko hapa!
Zaidi yeye ndio anaeonekana Kua Mwenye matatizo!
Mi mambo ya Mpira nayapenda sn na Mpira hasa wenyewe na ndio Maana Ktk threads zote za Mpira utakuta nimechungulia! Ni thread ya Man Utd tu ndio huwezi kuta nimeongea sn coz Man Utd wamekua na kipindi kigumu kwa muda mrefu sn mpk thread Yao imepoa vile!
Unajua mi napenda ushindani hasa Ktk Zile timu zinazo leta challenge kwa timu yng! Na ndio Maana thread ya Arsenal ilikua ndio ya kwanza kuishambulia mpk nilipomaliza biashara na wao! Na sasaivi wote tumekua marafiki km kina
Katavi Sizinga etc all arsenal fans! Nikifungwa wananipa pole Nami pia nafanya hivyo! Kwahiyo ndio mambo ya Mpira yalivyo!
Then thread ya man city! Kule ndugu
ndetichia ananifahamu sn na tumekua marafiki coz deal imekwisha! Imebaki adui yako muombee njaa! Teh Teh Teh Teh
Huku kwenu kulikua na mtu mmoja Mwenye Roho ngumu Mwenye SAINI ya NILIKUWEPO!(
Okhondima ). Huyu kitambo anakomaa na liver Ktk jukwaa lake lililopoa! Wengi wamekuja sasaivi baada ya kuona, eeeh kumbe na sisi tunaweza! Teh Teh Teh Teh Teh
By the way, naheshimu hoja za Watu wote Iwe ukweli anachosema au mahaba kwanza kwa timu au ubishi tu! Na hii mpk sasa Nimekua na marafiki wengi Ktk mijadala km Wewe
MosDef Baba Kelvin Gwamahala nguvu Mr. Wise na Liverpool fans wote ambao sijawataja na wapenzi Wa soccer wote, wenyew Twajadiliana uzuri kabisa hapa Ingawa itikadi yng au yetu Chelsea ni kutokukubali kushindwa au kuisema madhaifu timu yetu hadharani ndio Maana wengine wanasema Mbona Wewe
Ntuzu unajiamini sn! Teh Teh Teh Teh ! Sisi hatuhofii cha timu yoyote ile na ndio Maana Ktk thread yetu kule hakuna hoja za kuhofia timu! Yani sisi Ni mwendo mdundo tu!
Pamoja sn Mkuu!